Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.
Huyu jamaa ana kawaida ya kujikamatisha
 
CCM itaondoka madarakani ila sio kwa mwaka huu hili naomba likae vichwani mwa binadamu watanzania msije kunywa sumu october
 
Acha ushabiki wa kike wewe,Toka juzi watu wanalalama hapa hujuma tume inayofanya hapo arusha unajitoa ufahamu
Lema na kinana nani tapeli nchi hii?
Lema na sitta nani tapeli nchi hii
Lema na nape nani tapeli?

Walikutapeli nini?
 
Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.

alieruhusu viroba mimi nitamlaumu duniani mpaka akhera
 
Mimi nashauri Chadema kwa kutumia kandda zake Iorodheshe watu wote walioshindwa kujiandikisha na kurekodi matukio yote ya unyama kama kuamka usiku wa manane.Hizi taarifa wazitume nchi wa hisani na taasisi za utawala bora ili wazui misaada ya uchaguzi na kuitangaza Tz kama kisiwa cha fujo
 
Siwezi kupoteza muda wangu kumsikiliza ---- wenu huyo

Kweli kabisa endelea kumsikiliza mtumia kaloti nape, hata mfanye nini Lema ndo mbunge wa Arusha na ataendelea kuwa mbunge. Kwani hakuna ukombozi pasipo mateso.
 
nahisi kma mwiho wa amaniau tueme uvumilivu ni october hapa nchini
 
sasa kwanin ccm na tumeccm wnapelek machine nyingi sehem kama lemara yenye wakzi wachache alaf elerai au kijenge ziwe chche?
 
Philemon Mollel atamfanya LEMA kuwa chizi mwaka huu. LEMA haamini kama jimbo ndio linarudi kwa wenyewe sasa.
 
Hivi huko poteee BVR walikopita Hakuna matatizo Kama Arusha?

Je, huko kote walikokwisha pita Hakuna wabunge? na Kama wapo kwanini hawakuingilia pale utaratibu ulipovurugwa?

Kwanini litokee Arusha tuu? kwanini ahusishwe Lema tuu,? Na ni stahiki kwa mbunge kwenda kusimamia uandikiswaji wa wapiga kura wakati Tume Ndo ilio na mamlaka ya kuratibu....


My take, Kama anachokifanya Lema ni sahihi...nalaani kitendo cha polisi...ila Kama ni ukurupukaji wa Lema wacha wampige tuu..

Huko waliko pita wakahujumiwa wakaa kimya wana mtindio wa ubongo. Hahahah@ha....chezea kaskazin weye. Elimu ilianzia kaskazini na ukomboz dhidi ya mkoloni mweusi ccm utaanzia kaskazini. Kule huwez kuwazulum kirahisi jovyo ni wasome.babuu.
 
sijawahi sikia mbunge wa ccm akikamatwa kwa kutetea haki za wapiga kura wake mtaani kamwe.kwa kipindi hiki cha kikwete polisi imeongoza kwa kufanya unyanyasaji na kubambikiza kesi kwa wabunge wa upinzani..
 
Acha ushabiki wa kike wewe,Toka juzi watu wanalalama hapa hujuma tume inayofanya hapo arusha unajitoa ufahamu
Lema na kinana nani tapeli nchi hii?
Lema na sitta nani tapeli nchi hii
Lema na nape nani tapeli?

kwan machinga complex ashajenga? wote wale wale. TEAM WAZALENDO
 
tatizo viongozi wengi wa upinzani tz ni mataburalasa a.k.a vilaza wao ndio kila siku wanapiga kelele kuhusu tume huru ya uchaguzi alafu haohao wanaingilia kazi za tume mara ooh muda hautoshi, mara mashine mbovu sasa hapo tume kazi yake nini au wenyewe upinzani ndio wanajua kila kitu. huyo LEMA anaenda kupiga siasa kwenye kituo cha uchaguzi anatukana watu acha wamu arrest. maeneo mengi mashine za bvr zinafanya kazi vizuri labda zizingue arachuga inamaana ni kuna watu wengi

Wewe hazikutoshi, kwa hiyo hii tume ya lubuva iliyoteuliwa na mwenyekiti Wa magamba ndiyo tume huru?
 
kwan machinga complex ashajenga? wote wale wale. TEAM WAZALENDO

Kwani ccm wamejenga ngapi toka Uhuru? ulitaka makosa yote ya ccm toka Uhuru yafutwe na mbunge ndani ya miaka 5? wabunge Wa ccm toka Uhuru wamejenga ngapi hapo Arusha?
 
Back
Top Bottom