Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Hata mkibisha ccm ni Chama dume
Lini kilitahiliwa?
Hata mkibisha ccm ni Chama dume
Nyie wahuni wa Arusha Lema kawashikia akili kweli.Zero brain hii ndiyo chuga karibu usote, utakula kwa jasho dogo no easy life hapa
Zaidi ya baadhi ya wanywa banana wa Arusha nani anamjua Lema nje ya Arusha.Rais wa Arusha huyo, kiboko ya Lowassa na CCM combined.
Moderator wa Jamiiforums acheni double standard, LOWASSA anashinda akitukanwa hapa kutwa kucha, lakina hatujaona Post yetote kuhusu Lowassa ikufutwa, lakini naona sasa baadhi ya comment kuhusu LEMA kuswekwa rumande zimeanza kufutwa, hii inamaanisha nini? Acheni hizo, LEMA ni Jizi tu, linafaa kufungwa mpaka January mwakani.
Kama alivyochakazwa mzazi wako wa kike!Lema asipojirekebisha kule mahala kwake patachakaa sana.
Lema asipojirekebisha kule mahala kwake patachakaa sana.
Huo mziki mnene babu hata Jakaya anaugwaya.Zaidi ya baadhi ya wanywa banana wa Arusha nani anamjua Lema nje ya Arusha.
Mpaka Oktoba damu iko hatarini kumwagika.
Mkuu hiyo haipo mbali,ujue kukiondoa chama tawala ni kazi
Mungu aepushe mbali. Chadema hatutaingia Ikulu kwa kumwaga dam za watu.
Watakao tumwaga damu ni CCM ila njia ile paleee
Lema atakuwa na matatizo ya kisaikolojia si bure.
Kwa kweli Mungu aepushe mbali
Moderator wa Jamiiforums acheni double standard, LOWASSA anashinda akitukanwa hapa kutwa kucha, lakina hatujaona Post yetote kuhusu Lowassa ikufutwa, lakini naona sasa baadhi ya comment kuhusu LEMA kuswekwa rumande zimeanza kufutwa, hii inamaanisha nini? Acheni hizo, LEMA ni Jizi tu, linafaa kufungwa mpaka January mwakani.
Lema atakuwa na matatizo ya kisaikolojia si bure.
Utakufa na kuacha familia chini ya uomgozi wa ccm.Chama tawal hakiwezi kuondoka kirahisi. Lazima damu imwagike kama baadhi ya nchi walivyomwaga damu kuuondoa ukoloni