Na achizike tuu. Tulimpa jimbo akamuachia mkewe aliongoze coz alikuwa anapata maelekezo yote ya kuongoza jimbo kutoma kwa mkewe. Na mjuavyo Neema G. Lema kichwani ni upepo tuu umejaa hakuna kitu.
Naona zile 4:0 bado zimewalevya
Na achizike tuu. Tulimpa jimbo akamuachia mkewe aliongoze coz alikuwa anapata maelekezo yote ya kuongoza jimbo kutoma kwa mkewe. Na mjuavyo Neema G. Lema kichwani ni upepo tuu umejaa hakuna kitu.
kwan machinga complex ashajenga? wote wale wale. TEAM WAZALENDO
Naona zile 4:0 bado zimewalevya
Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.

Amefanya vurugu gani mkuu!?
Ritz
Hivi mlishinda uchaguzi Arumeru?
Kwa kilichotokea jamaa hakutumia busara kama kiongozi wetu tunayemuamini! Anastahili kushikiliwa, maana mbwembwe nyingi huondoa maarifa!
Mssassou hivi mlishinda chalinze,igunga,na iringa kwa mugimwa???
Kila kitu kina utaratibu wake.Tume imejipanga kuhakikisha watu wote wenye sifa wanaandikishwa.hakuna aliyezuiliwa.sasa Lema yeye ni nani mpaka alete majina yake ya watu wa kuandikishwa? Na kwa nini? Ndio maana anaonekana mvuta bangi. Ingekuwa kuna mtu analalamika hajaandikishwa hapo sawa.Lazima wamwachie hajavunja sheria polis kwa kuorodhesha wapiga kura ndio wanavunja sheria
Huko waliko pita wakahujumiwa wakaa kimya wana mtindio wa ubongo. Hahahah@ha....chezea kaskazin weye. Elimu ilianzia kaskazini na ukomboz dhidi ya mkoloni mweusi ccm utaanzia kaskazini. Kule huwez kuwazulum kirahisi jovyo ni wasome.babuu.
Huyo Lema ana Elimu gani?