Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kifanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.
 
Kafanya vurugu gani mkuu ..fafanua wengine tupo mbali na media nyingine
 
Amepewa kichapo mpaka chupi imetoka nje. Mbunge mzima hana hata aibu kutukana
 
Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.
Lema atakuwa na matatizo ya kisaikolojia si bure.
 
Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.

Acha ushabiki wa kike wewe,Toka juzi watu wanalalama hapa hujuma tume inayofanya hapo arusha unajitoa ufahamu
Lema na kinana nani tapeli nchi hii?
Lema na sitta nani tapeli nchi hii
Lema na nape nani tapeli?
 
Alimuibia baba yako mke ambae Ni mama yako?kua na busara mpuuzi wewe
 
Hawa ndiyo wafuasi wa Lema unategemea nini.
 
Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.

Wewe unatisha,unapiga miguu yote
 
Acha ushabiki wa kike wewe,Toka juzi watu wanalalama hapa hujuma tume inayofanya hapo arusha unajitoa ufahamu
Lema na kinana nani tapeli nchi hii?
Lema na sitta nani tapeli nchi hii
Lema na nape nani tapeli?

Umemkabidhi alicho kililia
 
Musa Allan jaribu kujiheshimu mpumbavu wewe,hujalazimishwa kuingia jf.shukuru @mods wameitoa comment yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom