Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

Godbless Lema anashikiliwa na jeshi la Polisi Arusha

Acha ushabiki wa kike wewe,Toka juzi watu wanalalama hapa hujuma tume inayofanya hapo arusha unajitoa ufahamu
Lema na kinana nani tapeli nchi hii?
Lema na sitta nani tapeli nchi hii
Lema na nape nani tapeli?

Mwenzako Kazaa Na Lema Hvy Ni Wivu Unaomsumbua
 
Sasa Tumeshajua kwanini LEMA anapenda jela sana, kumbe alivyoenda mara ile, alipata "mshikaji" kule, sasa huwa akikaa uraiani anammiss sana.
 
Jambazi maisha yake asilimia kubwa ni jela, anazitafutaga sababu akapumzike tu huko jela.
Kweli kabisa Mkuu. Na mwaka huu kazi ya Ubunge hataipata. Wana Arusha wakae mkao wa tahadhari coz jambazi atarudi mtaani
 
Sasa Tumeshajua kwanini LEMA anapenda jela sana, kumbe alivyoenda mara ile, alipata "mshikaji" kule, sasa huwa akikaa uraiani anammiss sana.
Kweli kabisa. Nasikia mtu akipata mshikaji kule na akatoka nje lazima alianzishe tena ili asimkose mshikaji wake
 
Kweli kabisa Mkuu. Na mwaka huu kazi ya Ubunge hataipata. Wana Arusha wakae mkao wa tahadhari coz jambazi atarudi mtaani

Katika mibunge ambayo haina busara na mijinga Lema ni wa 100 kati ya 100.
 
Lema anataka apelekwe gerezani kamkumbuka .........wake atakuwa hajapata kitambo.
 
Kweli kabisa. Nasikia mtu akipata mshikaji kule na akatoka nje lazima alianzishe tena ili asimkose mshikaji wake

Lema asituvurugie zoezi letu la uandikishaji kwa tamaa zake za kimwili. Polisi mhifadhini huyu mwehu huko huko mpaka uchaguzi upite.
 
Mbunge Lema anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya uandikishaji. Tunawaomba polisi wamshikilie mpaka uandikishaji utakapoisha.

Hahaa, policcm katika ubora wao!
 
Ujue mtu akishakuwa jambazi kwake kuwekwa ndani siyo ishu kwakuwa kazoea polisi.
 
Alutta continua! continua!

😛eace:😛eace:😛eace:​
 
Back
Top Bottom