Wazazi wa Arusha chukueni hatua kama alivyosema Lema kuwalinda mabinti zenu na huu uselamavi unaozidi kuota mizizi Arusha

Wazazi wa Arusha chukueni hatua kama alivyosema Lema kuwalinda mabinti zenu na huu uselamavi unaozidi kuota mizizi Arusha

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,218
Reaction score
43,754
Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana.

Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache wanaoharibu taswira nzima ya Arusha. Kwa sasa hadi watoto wa kike wameshaanza kunasa kwenye huo upuuzi. Wazazi wa Arusha mkimpuuza huyu mnufaika wa Tonetone Lema mtajuta baadae.


View: https://www.instagram.com/p/DbZcg8FoTdg/?igsh=MWNmaGpiaXB4ZTNh
 
Mwezi uliopita kuna binti kutoka Arusha alitupa cha kuongea siku nzima, Chini kapiga Timber, katupia pensi la jeans baggy, Tshirt ya Los Angels hood na juu kavaa kofia nyekundu kaigeuzia, watu hatukuisha kumshangaa halafu yeye anakula mwendo kwa kujiamini yani ile kisela shega tu, I swear kama kuna mtu angeenda kumjulia hali basi salam ambayo angerudishiwa angehisi anaongea na Hamidu au Dula.
 
Watu watasingizia bhange. wakati jamii ya Arusha ikimwona MTU anaishi kama amevurugwa ndo wanamwona mjanja.

Huku baadhi ya viongozi wa mbogamboga wakijiona raisi wa wadudu
 
All way up, love from, ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🔥🔥🔥✌️✌️ mianzini, UNGA ltd, karoleni, bondeni stand, hayo ndo makazi yaliyo nikuza chuga na mengi ya kusimulia bhasiii tu, in short huko ndo pameni shape, huyu alexido wa sasa, nimeingia chuga nikiwa mtoto nilie Toka mkononi mwa wazazi naingiza kujitegemea, but all in all, Asante MUNGU kweli you ana god eeeeehhh🙏🙏🙏🙏🙏🙏.


Kutoka kuwa sheikh kwenye mikono ya mama mpaka kuwa msela na muhuni lakini smart, sikabi siibi ila ukija kishari njoo vizuri, hii yote chuga ilinibadili kabisa, kutoka alex mpaka alexido jz
 

Attachments

  • Screenshot_20260730-214300.jpg
    Screenshot_20260730-214300.jpg
    37.2 KB · Views: 11
Nimezaliwa Arusha na kukulia huko, n muda sasa sipo huko na sasa hv sitaki hata kwenda kwa sababu kuna usela wa kipuuzi mno
Chuga unakutana na manzi anakwambia ebu ni-gadi woter, dadeq chuga watengwe
 
Watu watasingizia bhange. wakati jamii ya Arusha ikimwona MTU anaishi kama amevurugwa ndo wanamwona mjanja.

Huku baadhi ya viongozi wa mbogamboga wakijiona raisi wa wadudu
Muwe mnawatia mimba watavaa magauni wenyewe
 
Nashukuru molla kutoka salama🙏 nilizingirwa na wavuta bange, Tungi, mirungi, ugolo, mademu sijui kulomba big nooo, nilibaki njia kuu, lakini ULIKUA ukiniona huamini kama situmii kilevi chochote, starehe kwangu ilikua club kucheza majoka, dance hall kwishaaaaaaaaaa.

Ukizoea madisco ya dar, mwanza, Dom, Arusha ni tofauti dj anaweza piga mziki disco lote mpaka Lina Isha bila singeli, lakini dancehall, Jamaica miziki ya kibishi, kibabe sana,

Starehe inapendwa sana Arusha alafu wapo nayo serious, ukiingia lounge watu wamependeza vibaya mno tofauti na Dom ambapo mara huyu kavaa hivi mara yule hivii tafrani tupu.
 
Back
Top Bottom