usela

Eagle Lake is a city in southeastern Colorado County, Texas, United States. The population was 3,639 at the 2010 census. It is home to a golf course, the largest private lake in Texas, and the Eagle Lake Regional Airport, which serves light aircraft.
The lake, along with adjacent rice fields, attracts a large variety of migratory birds. The city is known as the "Goose-hunting Capital of the World" and also borders a wildlife preserve.

View More On Wikipedia.org
  1. Koloko

    JamiiForums Tanzania Umekutwa na hatia bado unaingia na bangi kituoni uunao ni usela au..?

    Katika purukushani za maisha huku na kule, kuna kipindi nilishawahi kukamatwa na kuwekwa ndani Kesi yangu ilikuwa bado inaendelea, lakini ndani ya moyo wangu nilikuwa naamini kwamba, kwa namna yoyote ile, ipo siku nitatoka. Changamoto kubwa ilikuwa hata kuwafikishia wazazi taarifa kwamba...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Arusha chukueni hatua kama alivyosema Lema kuwalinda mabinti zenu na huu uselamavi unaozidi kuota mizizi Arusha

    Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana. Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache...
  3. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Bro, timiza unayoyaweza , Dunia wala haipo Kasi ni walimwengu tu

    Salaam jamiiforum. Ni April 19 leo mwaka 2026, Siku zinakimbia, yaani bado siku kadhaa tu iadhimishwe siku ya wafanyakazi,bado wiki chache kufikisha nusu mwaka. Ama kweli siku hazigandi. Cha ajabu maisha ni kama yamesimama ,mishe hazisogei,mipango haitimii, anyway kila kitu kina wakati wake...
  4. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Niseme sina bahati ama mambo hayajanyooka! Ninaemtaka simpati au labda tatizo nyota!

    GGADZZILA "kama hupati unachopenda penda unachopata" DIZASTA VINA "utairudia kawaida utagundua kuwa haukuwa malaika" WAZEE WANGU KIJIJINI "yote ni ya mungu wengine kula mtama wengine mpunga" 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu binafsi: 75% ya wanawake hupenda wanaume wenye usela na utukutu kuliko wale wastaarabu

    Na kama kuna akina Matomoso ambao mtalibishia hili naomba mkija Kubisha mje mniambie ni kwanini 90% ya Wanawake (Mademu) ambao huachana na Waume zao / Mabwana zao wengi wao hujikuta wameangukia katika Mahusiano na Wanaume Machakaramu (Masela na Watukutu) na ni nadra sana kukuta wameanzisha...
  6. Kiparamoto

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?

    Wakuu, Mimi ni kijana wa makamo, on my early 30s, sina familia (mke & mtoto), vipaumbele vyangu kwenye maisha ni kujitoa kwenye dimbwi la umasikini uliokithiri kwenye familia zetu hizi za kiswahili, ukijumlisha nilishawahi kupigwa matukio huko nyuma na wachumba kwa kukosa vijisenti hata vya...
  7. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Yondani anazidi kuzeeka lakini bado ana usela mavi

    Umofia kwenu. Wakuu majuzi ilikuwa birthday ya yondani kama sikosei. Jamaa ni moja ya ma legend katika ligi yetu na bongo kiujumla. Hivyo u_legend wake ilitakiwa iwe mfano mzuri kwa wadogo zake kina mzize lakini bwana mkubwa bado ana usela wa kizamani. Achana na matukio yake mengi kama vile...
  8. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Anayeoa hajui ndoa na anayeolewa hajui ndoa. Usela endelevu hauna tiba

    Hello, Je waoaji na waolewaji wanafahamu na kupata maarifa ya kutosha kuhusu ndoa, why ndoa? Uishije ndoa? Road map ya ndoa inarejea msingi ngapi na ni zipi. Usipojua haya huna tofauti na masela wenye jinsia tofauti ila wako ghetto na wana mishe mishe fulani. Hitimisho kama walioa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye Mtu 'Usela' unalipa bhana.....Bondia Mike Tyson awa Balozi wa Bangi ( Msuba ) nchini Malawi

    Haya Wewe pamoja na Usomi wako wote na Kujimwambafai Kwako kote kuwa Umeelimika Cheo cha Balozi au hata Vyeo vingine huna, hujavipata na unavisikia tu kwa Wengine katika Bomba. Na si tu kwamba Bondia Mstaafu Maarufu duniani Mike Tyson ameteuliwa tu kuwa Balozi wa Bangi / Bange nchini Malawi...
Back
Top Bottom