Godbles Lema video: Nimemmis sana Kikwete

Godbles Lema video: Nimemmis sana Kikwete

Kwa hiyo hiki ndicho ambacho wapinzani wamesema wanamiss Mhe. Rais Mtaafu?Wewe na nani hamuhitaji?unawakilisha maneno ya nani unaposemu hatuhitaji?
jk aliwavumilia akidhani mtakuwa reasonable,lakini badala yake mkamuona dhaifu,akawasetia rais mkali,akawarekebishia na ile sheria ya mtandao ili iende sawa na utawala wa rais mkali.

Hebu mtukaneni Magufuli tuone kama baada ya wiki hatujasikia umeenda mahakamani,
ule uzushi wa kijinga kama sijui jk kaenda china saa tano usiku akarudi dar saa kumi na mbili asubuhi,sasa ni marufuku
 
katika serikali hii mapungufu yapo hakuna serikali inayokosa mapungufu lakini upinzani hawajui na wala hawana mipango ya jinsi ya kuyawasilisha hayo mapungufu mbele ya hadhara......slaa + zitto + mnyika ilikuwa ni upinzani uliokamilika leo hii unatuletea mashinji + salim + mnyika wapi na wapi??unategemea hawa watatu watakuwa na mipango gani ya kuweza kufikisha mapungufu ya serikali ipasavyo?
 
Hawa jamaa ni wanafiki sn!!;walishawahi kutaka kukusanya signature ili wampigie kura ya kutokuwa na imani nae!!;leo wamemmiss fyuuuuu!!
Wamamiss in what aspect?usiwe mvivu hivi mkuu?in what aspect?
 
jk aliwavumilia akidhani mtakuwa reasonable,lakini badala yake mkamuona dhaifu,akawasetia rais mkali,akawarekebishia na ile sheria ya mtandao ili iende sawa na utawala wa rais mkali.

Hebu mtukaneni Magufuli tuone kama baada ya wiki hatujasikia umeenda mahakamani,
ule uzushi wa kijinga kama sijui jk kaenda china saa tano usiku akarudi dar saa kumi na mbili asubuhi,sasa ni marufuku
Kwa hiyo hii inahusiana na sababu ya kumiss Mhe. Rais Mtaafu walizozitoa Mhe. Lema na Mhe Msigwa? Daah hivi mkuu unaelewa wanamiss in what aspect?
 
Nenda ktk maada!!;ndo maana kukawa na neno uvivu xo usiogope!!
 
Kila mtu kwa jinsi alivoumbwa , anamazuri na mabaya yake. Nyerere ni mzuri ila pia ana udhaifu wake. Magufuli ni mzuri ila madhaifu yake pia yanaonekana ni shida. Huwezi pata rais km malaika, kakamilika kila idara
 
if he doesnt respect your presence let him miss your absence
 
Amemiss katika suala gani?mbona unazunguka zunguka?Amesema amemiss katika nini?Usiongee juu juu wewe ni GT amemiss katika nini?Je hiyo picha inaendana na aliyosema Lema jana?Je wamemiss in what aspect?Tuache uvivu wa kufikiria na kuandika au ndio tunataka kuongeza points na sisi tuonekane tupo JF muda mrefu na tuweka nyuzi?
Muulize Lema na Msigwa wao ndiyo wanajua walichomiss unaniuliza tena mimi.
 
Muulize Lema na Msigwa wao ndiyo wanajua walichomiss unaniuliza tena mimi.
Sasa kama haujui hiyo hizo picha zako na chai ulizileta za nini?ww ni GT je unasema tu wamemiss na umetumia lugha ya picha je hiko ndicho walichomiss?Shame on you?This is a total failure unless useme hii ni propaganda? Kama haujui why umepost katika uzi?What is that for?huu ni uvivu au kudumaa?
 
Kushabikia siasa nchi hii inahitaji uwendawazimu ....CCM imechokwa ...wapinzani hawajielewi na vigeugeu ...bora ubaki kuunga mkono hoja za msingi na si vyama regardless wanatoa hoja gani ...
 
Sasa kama haujui hiyo hizo picha zako na chai ulizileta za nini?ww ni GT je unasema tu wamemiss na umetumia lugha ya picha je hiko ndicho walichomiss?Shame on you?This is a total failure unless useme hii ni propaganda? Kama haujui why umepost katika uzi?What is that for?huu ni uvivu au kudumaa?
Naona umepanic ghafla labda tufahamishe wewe wamemiss nini kwa JK?
 
Muulize Lema na Msigwa wao ndiyo wanajua walichomiss unaniuliza tena mimi.
Nadhani hata Mhe. Lema haujamsikiliza wewe, maana amesema exactly why na kwa nini?Hotuba yake imekatizwa mara ngapi na Mwenyekiti wa Bunge?Pili katika uzi wako umetumia picha ya watu wakinywa juice na chai so hiyo inreflect walichosema Mhe. Msigwa na Lema, walikuwepo kwenye hiyo kamati?Kwa lugha ya pich atu ni upotoshaji wa hali ya juu, inahusina nini na whats going on now?
 
Naona umepanic ghafla labda tufahamishe wewe wamemiss nini kwa JK?
Sijapanic nachukizwa na watu ambao katika mambo ya msingi wanaleta utani na vichekesho, Masoud ni mchora katuni lakini yake inareflect real situation, look at you watu wanadiscuss mambo ya Msingi wewe unaleta porojo, ile hotuba imeongea nini?na in what aspect wamemiss JK , nakuuliza unasema sijui waulize Lema na Msigwa kama haujui why ulipost huu uzi kama sio umbea na mipasho
 
Sijapanic nachukizwa na watu ambao katika mabo ya msingi wanaleta utani na vichekesho, Masoud ni mchora katuni lakini yake inareflect real situation, look at you watu wanadiscuss mambo ya Msingi wewe unaleta porojo, ile hotuba imeongea nini?na in what aspect wamemiss JK , nakuuliza unasema sijui waulize Lema na Msigwa kama haujui why ulipost huu uzi kama sio umbea na mipasho
Nimekuuliza Lema na Msigwa wamemiss nini kwa JK? Hayo mengine ya kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom