Amemiss katika suala gani?mbona unazunguka zunguka?Amesema amemiss katika nini?Usiongee juu juu wewe ni GT amemiss katika nini?Je hiyo picha inaendana na aliyosema Lema jana?Je wamemiss in what aspect?Tuache uvivu wa kufikiria na kuandika au ndio tunataka kuongeza points na sisi tuonekane tupo JF muda mrefu na tuweka nyuzi?Wanaukumbi.
Jana nimemsikiliza Lema akichangia bungeni kuwa kammiss Rais Kikwete aliyemaliza muda wake.
Wakati wa utawala wa JK hawa hawa Chadema walisema JK ni rais dhaifu leo tena wanasema wamemmiss daah!
Ilifikia wakati Chadema wakatoa tamko kuwa watampeleka JK ICC kulikoni leo Lema na Msigwa mmemiss JK.
Dua lenu limekubaliwa rais JK dhaifu kaondoka kaja Rais Magufuli pambaneni naye JK hagombei tena urais.
View attachment 348359
View attachment 348360