God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

Hhhhhh pole sana na stori za kutunga
Chuki itakupeleka sipo kijana punguza chuki chunguza ukweli usome hlf ndo uje kuthibitisha
Zimetungwa wapi? Ina maana hata Quran husomi? Mimi namchukia Shetani na Kazi zake tu. Nitaendelea kuuweka hapa ukweli na aya za kishetani
 
Hhhhhh pole sana na stori za kutunga
Chuki itakupeleka sipo kijana punguza chuki chunguza ukweli usome hlf ndo uje kuthibitisha
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
 
Allah na Mtume ni Noma Sana.
 
Allah na Mtume ni Noma Sana.
Ni hatari sana..... Unajua hata waislam wenyewe wengi hawajui mambo haya....wanakaririshwa tu mistari basi. Hawasomi. Wengi wamekuwa wakinifuata private na kushtushwa na haya mambo. Wanasema au jamaa unatudanganya. Nawaambia someni wenyewe. Wanasoma wanarudi wanashangaa sana.... Na ndo maana Salman Rushdie walitaka muua sababu ya kuandika kitabu aya za kishetani. Muhamad ana uchafu mwingi sana. Na ndo maana huwa tunawaambia Wakristo Alla si sawa na Mungu wa Wakristo. Hawafanani hata kidogo.
 
Sio ajabu Mungu wa kwenye Biblia kuja katika umbo la Binadamu katika Agano Jipya.
Hata katika Agano la Kale alifanya hivyo.

Mwanzo 18:1 Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.

2 Akainua macho yake akaona, na tazama, watu watatu wamesimama mbele yake. Naye alipowaona alipiga mbio kuwalaki kutoka mlangoni pa hema, akainama mpaka nchi,

3 akasema, Bwana wangu, kama nimeona fadhili machoni pako nakuomba usinipite sasa mimi mtumwa wako.

{Hawa wenzetu lazima wastaajabu kwao haijawahi kutokea}
 
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSANHadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Kijana achana na hizi stori za kutunga yni ata mkiuchafua vipi Uislamu hauchafuliki yni ni sawa kuipaka Ardhi tope kipindi cha Mvua ukasema waichafua

Hhhhhhhhh pole sanaa
 
Kijana achana na hizi stori za kutunga yni ata mkiuchafua vipi Uislamu hauchafuliki yni ni sawa kuipaka Ardhi tope kipindi cha Mvua ukasema waichafua

Hhhhhhhhh pole sanaa
WADAU SOMENJ HADITH IDADI 16,245.

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
 
Kijana achana na hizi stori za kutunga yni ata mkiuchafua vipi Uislamu hauchafuliki yni ni sawa kuipaka Ardhi tope kipindi cha Mvua ukasema waichafua

Hhhhhhhhh pole sanaa

MUHAMMAD ALIKUWA NA DHAMBI KUBWA KIASI CHA KUOMBA MSAMAHA MARA MIA KWA SIKU​

Dhambi kubwa
Katika "Sahih Muslim, Kitabu 35, 6522 Idadi" inasema kwamba Muhammad alikuwa mwenye dhambi kubwa ambaye aliomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu mara mia kila siku:
"Al-Agharr al-Muzani, ambaye alikuwa mmoja wa (Mtume) wenzake taarifa kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (amani ilikuwa juu yake) alisema: Kuna (wakati mwingine) aina ya kivuli juu ya moyo wangu, na mimi kutafuta msamaha kutoka kwa Mwenyezi Mungu mara mia kwa siku. "
Kumbuka kwamba utamaduni si tu anasema kwamba Muhammad alikuwa mwenye dhambi kubwa, lakini kwamba alijisikia kivuli, hisia mbaya, juu ya moyo wake. Katika kesi Mohammed, hii itakuwa vigumu kwa sababu Qur'an anasema kuwa yeye ni kipaji katika maisha yake na vitendo:
68: 4
Maisha yako na matendo yako ni `aa [mfano]. (Mohammed Knut Bernstöm, Qur'an)
Watu wote wamefanya dhambi
Biblia inasema kwamba watu wote wamefanya dhambi. Hii ni pamoja na Muhammad alikuwa mwenye dhambi kama watu wengine wote.

MUHAMMAD AKIRI KUWA DHAMBI ZAKE HAZIKUSAMEHEWAKatika kitabu chake " mwisho mstari wa mbele "anaandika Reza Safa F inasema katika hadith ambapo mke wa Muhammad Khadidja kumtaka kusamehe dhambi yake, Muhammad alijibu kuwa hakuwa na uhakika dhambi zake mwenyewe walikuwa kusamehewa! Angewezaje kusamehe dhambi yake?
 
Can man become a car??
Kabla hujaenda kubadilika kuwa gari
Tuanze na hili rahisi kwanza
Roho ya Allah aliwezaje kuwa mtu
Koran 19:17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu
 
Basi atakuwa ni Mungu, maana mambo aliyorekebisha kwa utunzi wake yamekuja kugundulika hivi karibuni, mengine mwaka juzi kuwa ni ya ukweli.

Yani arekebishe mambo ambayo mwenyewe hakuwepo (Miaka 2000 kabla yake) halafu wanasayansi mwaka juzi ndio wagundue alikuwa sahihi...Huoni muujiza hapo?
Mganga akitabiri future , naye ametoka kwa MUNGU?
 
Can man become a car??
Man can't become a car. But if he needs a car to travel.
And if God has a job to be done on earth and there is a need for him to come to earth and live among men he needs a body or else we won't see him. the Body is not God but owned by God in the same way the car is not man but owned by man. The body does not define God jus like a car its just a mean to an end.
 
Mkuu inabidi ufanye namna ufanye research zaidi tafuta materials za scholars wa Kikristo watakusaidia kufahamu Imani kiundani zaidi yaani utakuwa unasoma maandiko na context zake zilivyo unaweza kuanzia na hizi website 👇

http://shamounian.com/ (nenda kwenye menu pale utachagua unataka majibu ya maswali Gani)

na pia Kuna hii 👇itakusaidua pia

ILA KWENYE ULICHOJIBU INATEGEMEA NA ULICHOKIMASNISHA

Iko hivi katika biblia takatifu neno MUNGU likitumika independent mara nyingi limemaanisha kuwa GOD THE FATHER kwahiyo ukisema kuwa Yesu sio God the Father unakuwa unapatio kabisa kwa 100%.

Pia hata wayahudi walikuwa wanalijiwa Hilo na ndiyo maana walitambulika kama watoto wa MUNGU maana katika Imani ya kiyahudi wao pia MUngu humwita BABA (God the Father) na wao hujiita watoto wa MUNGU.

Pia katika Imani ya kikristo, Kuna MUNGU mmoja ambaye anaexist in three person's yaani God, WORD(his word) and SPIRIT(his spirit), yaani kama wewe unavyoexist in three persons yaani MWILI WAKO,NAFSI YAKO NA ROHO YAKO, vyote hivyo ni WEWE.

Mfano mtu akifa MWILI WAKE anauacha duniani na ROHO/NAFSI inaenda mahala pengine kusubiri hukumu, kwahiyo Ile ROHO/NAFSI itakapoenda kusubiri hukumu Ile ROHO/NAFSI inayosubiri hukumu ni WEWE na hata mwili uliobaki duniani pia ni WEWE.

Kwahiyo ROHO YAKO ni WEWE, NAFSI YAKO ni WEWE na MWILI wako ni WEWE.

Tofauti kati yako wewe na MUNGU ni kwamba wewe huwezi kujigawanya ukasema ROHO yako uipeleke kigoma, MWILI wako uupeleke singida halafu NAFSI ikakae mbeya, yaani huwezi kuexist sehemu tatu at the same time kwa matakwa yako utaweza kuexist sehemu mbili tu kwa uwezo wa MUNGU yaani pale mtu akifa anauacha MWILI duniani na ROHO/NAFSI zitaenda mahala kusubiri hukumu.

Refer to Thessalonians 5:2

May God himself, the God of peace, sanctify you through and through. May your whole SPIRIT, SOUL and BODY be kept blameless at the coming of our Lord Jesus Christ.

Zingatia Kwenye Imani ya Kikristo, neno MUNGU likitumika independent maana yake linamaanisha God the Father.

Kumbuka pia kwenye Imani ya Kikristo huyo MUNGU anayeexist in three persons yaani God,his Word and his SPIRIT, Sasa alichokifanya MUNGU ni KUJA duniani kupitia his Word, ambapo his word(neno wa MUNGU) ndo akafanyika kuwa Yesu ambaye ni mwanadamu kamili kwa 100% ambaye ndani yake pia ni neno wa MUNGU, na hivyo yeye pia ni MUNGU,

REFER TO JOHN 1:1 In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.

Na ndiyo maana kwa wakristo wote Yesu ni MUNGU aliyeshuka na kuwa binafamu kamili kwa asilimia mia Ili KUJA kushare na wanadamu matendo matakatifu na kuonyesha mfano vile ambavyo binadamu anapaswa kuishi na pia alikuja kuukomboa ulimwengu kutoka katika uovu na pia alikuwa crucified msalabani na kufa na siku ya tatu kufufuka Ili wanadamu tupate kusamehewa dhambi as the bible said mshahara wa dhambi ni mauti, kwahiyo ilikuwa dhambi lazima ilipiwe na mauti na hayo mauti ndo yaliyoukuta mwili wa Yesu.

Kwahiyo unaposikia kusulubishwa juwa kuwa umesulubishwa mwili wa binafamu ambao ndio mwili wa Yesu ambaye ni neno wa MUNGU ambaye pia ni Mungu ambaye alishuka duniani na kuwekwa ndani ya bikira maria na Kisha kufanyika kuwa mwanadamu mwenye uanadamu kwa asilimia mia na akiwa na neno wa MUNGU ndani yake.

Word of God ( Yesu) Aliset aside utukufu wake na kujihumble ili aje kushare na binadamu Yale matendo ya kiungu na ndiyo maana wakati Yesu anarudi Mbinguni aliwmwambia MUNGU ( God the Father/his father) Nitukuze Ili nami nikutukuze katika utukufu ambao Yesu wote walikuwa nao (God and His word) kabla hata ulimwengu haujaumbwa.

REFER TO John 17:1-5After Jesus said this, he looked toward heaven and prayed:

“Father, the hour has come. Glorify your Son, that your Son may glorify you. 2 For you granted him authority over all people that he might give eternal life to all those you have given him. 3 Now this is eternal life: that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent. 4 I have brought you glory on earth by finishing the work you gave me to do. 5 And now, Father, glorify me in your presence with the glory I had with you before the world began.

Na hakuna binadamu anayeweza mwambia MUNGU (God the Father) kuwa MUngu Nitukuze kwa maana MUngu hatukuzi binadamu ila binadamu ndo humtukuza Mungu lakini kwa Yesu ilikuwa sawa kwakuwa Yesu ni Neno na Neno ni Mungu

Refer to JOHN 1:1 In the beginning was the Word, and the Word was with God, and the Word was God.
NOTE: that Word that was there in the beginning ndiye aliyekuja kufanyika na kuwa mwili wa Kristo Yesu na hiyo God iliyotumika hapo independent ndiyo God the Father.

Pia kumbuka kuwa that Word of God ndiyo iliyokuja kufanyika kuwa mwili wa Yesu ambaye ni mwana wa God the Father, bila kusahau kuwa alifanyika kuwa mwili wa binadamu (mwili wa Yesu) kutoka kuwa Word of God, so Word of God ambayo pia ni God ndiyo ilifanyika kuwa mwili wa binadamu ambaye ni Yesu na ndiyo maana katika Imani ya Kikristo Yesu ni GOD in Flesh yaani ni 100 percent binadamu na pia MUngu kwa maana Neno wa MUNGU ndiyo aliyofanyika kuwa binadamu ambaye ni Yesu na ndiyo maana hata Yesu alikuwa anasamehe dhambi

REFER TO Matthew 9:2, ESV: And behold, some people brought to him a paralytic, lying on a bed. And when Jesus saw their faith, he said to the paralytic, “Take heart, my son; your sins are forgiven.”

Na hicho ni kitu ambacho Mungu tu anaweza fanya lakini Yesu alifanya kwa maana Yeye si tu binadamu kwa asilimia Mia Bali pia Kuna Uungu ndani yake na hakuna hata nabii Wala mtume yeyote kwenye biblia aliyewahi kusamehe dhambi ila Yesu aliweza kwakuwa yeye hakuwa nabii tu Bali ni Mungu pia.

KWAHIYO MKUU KAMA WEWE NI MKRISTO LAZIMA UJUWE KUWA KWENYE UKRISTO MUNGU NI MMOJA NA ANAEXIST IN THREE PERSONS KAMA NILIVYOKUELEZA HAPO JUU NA PIA UNAWEZA KUREFER MAANDIKO HAYA

1 JOHN 5:7 For there are three that bear record in heaven, the Father( God the Father), the Word(Jesus), and the Holy Ghost(holy spirit) and these three are one.

1 Yohana 5:7 NEN

Kwa maana wako watatu washuhudiao[ mbinguni: hao ni Baba, Neno na Roho Mtakatifu. Hawa watatu ni umoja.

Note that:Nimemjibu MKRISTO so sitaki mabishano na mtu yeyote nimemuelekeza tu juu ya Imani yake pasipo kigusa au kutaja Imani ya upande mwingine.
Ahsante sana Kwa kushare websites..
 
Back
Top Bottom