God reverence between The Glorious Quran and the Currently Partially Corrupted Bible

Man can't become a car. But if he needs a car to travel.
And if God has a job to be done on earth and there is a need for him to come to earth and live among men he needs a body or else we won't see him. the Body is not God but owned by God in the same way the car is not man but owned by man. The body does not define God jus like a car its just a mean to an end.

Ok then, Which man whom God became ??
 
Kabla hujaenda kubadilika kuwa gari
Tuanze na hili rahisi kwanza
Roho ya Allah aliwezaje kuwa mtu
Koran 19:17. Na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea Roho wetu, akajifananisha kwake sawa na mtu

"Roho wetu" anayezungumziwa hapo ndiye Roho mtakatifu, ni roho mtakatifu ndiye Mungu anaweza kumfanya akawa na umbo la kiumbe hai yeyote.
 
Kina Allah hawawezi ila roho wao anaweza?
 
sema; Allah na sio kina Allah.

Inatakiwa ujue kwamba Mungu anazo/anayo nyenzo ya kutendea kazi nayo ndio hiyo/huyo Roho wake (Roho mtakatifu/Jibril), Mungu anaweza kumfanya huyo atokee mbele ya mtu/watu katika umbo lolote analolitaka ili atimize kusudio lake kwa huyo mtu, kwa habari zaidi Soma (Mathayo 3:16), Marko 1:10, luka 3:22, Yohana 1:32. Kipindi Yesu alipobatizwa Roho mtakatifu alishuka akiwa katika umbo la NJIWA.
 
Kwenye biblia Roho mtakatifu sio Malaika,

Allah kajiita mwenye kwa wingi kwa Nini tusimyite anavyotaka

Jibril ni Roho au Malaika?
 
If God became Jesus, then Can you please solve this riddle;

1 John 4:9 says; This is how God showed His love among us; He SENT His one and only Son into the world that we might live through him.

The above inscription says God SENT HIS SON, you claim the son Himself became God (He was God perse)!!--- then who speaks the truth??
 
Wewe upande wa dini bado sana, Roho mtakatifu/The holy spirit ni nguvu za utendaji kazi za Mungu, Mungu anavyo vitendea kazi vyake ambavyo huwa anaviamrisha vifanye vile anavyotaka mfano mimba ya Yesu ilifanyika kwa uwezo wa Roho mtakatifu yaani Mungu aliamrisha Roho mtakatifu atengeneze mimba ndani ya tumbo la Bikira Maria, huyo Roho mtakatifu ndiye Malaika Gabriel (Jibril) na ndiye huyo aliyetokea kama njiwa kipindi Yesu anabatizwa na nabii Yohana.
 
Wewe ndio hujui , Gabriel alienda kuoeleka habari
Roho mtakatifu sio Gabriel na hakuna popote palipo andikwa ni Gabriel

Pia kwenye Koran Koran nzima hakuna palipo andikwa jibril ndie Roho mtakatifu ni utunzi wenu tu mmekuja nao
 
Nikuulize swali huyu Roho mtakatifu wa waislamu anatenda dhambi ?
 
Wewe ndio hujui , Gabriel alienda kuoeleka habari
Roho mtakatifu sio Gabriel na hakuna popote palipo andikwa ni Gabriel

Pia kwenye Koran Koran nzima hakuna palipo andikwa jibril ndie Roho mtakatifu ni utunzi wenu tu mmekuja nao

Hata kwenye Qur'an hakuna sehemu yoyote inayosema Yesu/Jesus /Yus asaf ndiye Isa ibn Mariam, lakini ni matukio ya habari ndani ya vitabu ndizo zinatufanya tukubali kwamba Yesu ndiye Isa bin Mariam, sasa kama unakataa Roho mtakatifu sio Malaika Gabriel/Jibril mimi siwezi kukulazimisha kwani tumeambiwa; لا اكرح غي الدين
 
Vizuri umesema kweli huu utunzi umeshika Kasi Sana ukisema jibril ni Roho mtakatifu, kumbuka kilikuwa na uzushi mwingine waislamu wakisema Roho mtakatifu ni muhmmad
 
Ni swali la muhimu Sana huyo Roho mtakatifu wenu jibril je ni mtenda dhambi

Labda upewe somo;

Kuna aina kuu 4 za malaika, 1- Jibril, 2-- Izrail, 3--Mikail, 4-- Israfil.

Jibril ni malaika mkuu na kazi yake kuu ni kuteremsha ufunuo na habari njema au mbaya kwa watu, mfano Bi Mariam alipashwa habari juu ya mimba ya Yesu na huyo Malaika, ambaye Mungu ndiye aliyemuita "Roho wetu"

Izrail huyu ni malaika mkuu wa kuchukua roho zetu tunapokufa.

Mikail huyu ni malaika mkuu wa maangamizo, mfano watu wa luto/Luti waliangamizwa kupitia huyo malaika.

Israfil-- huyo ni malaika mkuu wa neema, mfano neema ya mvua, chakula nk.

Malaika kwa mujibu wa Qur'an hawatendi kinyume na walichoamrishwa na Mungu kwani wao ni sawa na vitendea kazi vya Mungu, ni sawa na ushike kalamu na uandike jambo, kalamu ni kitendea kazi chako kamwe kalamu yenyewe haiwezi kuandika hadi uishike na uandike unachitaka wewe mwenyewe, malaika kwa Mungu ni kama kalamu kwako.
 
Ni nani aliwatuma kumuhoji Allah kuhusu uumbaji wa Adam ?

Jibril ni Roho au Malaika? Hili swali hujajibu
 
If God became Jesus, then Can you please solve this riddle;

1 John 4:9 says; This is how God showed His love among us; He SENT His one and only Son into the world that we might live through him.

The above inscription says God SENT HIS SON, you claim the son Himself became God (He was God perse)!!--- then who speaks the truth??
Since the riddle came from the bible I will give you answer from the same book.
God sent His son, what does it mean to be God's son according to Bible?

John 5:18 Therefore Jews sought more to kill him because he not only had broken sabbath, but said also God was his Father, making himself equal with God.
Being God's son means God essence is his essence.
Are there two Gods?
No there is only one God
John 10:30-33 "my father and I are one" ....
The Jews answered him, “It is not for a good work that we are going to stone you but for blasphemy, because you, being a man, make yourself God.”
 
Labda upewe somo;

Kuna aina kuu 4 za malaika, 1- Jibril, 2-- Izrail, 3--Mikail, 4-- Israfil.
Huyu israil kwenye Koran tunamsoma wapi?

Na Kwa mujibu wa wayahudi Malaika majina Yao Yana maana inapo ishia na EL mfano Gabriel, EL ni God
Gabriel - God is my strength",

Nataka kujua awa wa waislamu majina Yao yanamaana yoyote
Na hiyo IL ni nini maana yake
 
Ni nani aliwatuma kumuhoji Allah kuhusu uumbaji wa Adam ?

Jibril ni Roho au Malaika? Hili swali hujajibu

Kuhoji na kuamrishwa mbona ni vitu viwili tofauti, mfano polisi wa cheo cha chini anapohoji jambo hapo anakuwa kakataa amri??

Kuhoji ni kutaka kujua, kama utasoma hizo aya mbele wale malaika baada kufahamishwa na Mungu na kujua walisemaje??!--- tofautisha kati ya kutii amri na kuhoji malaika anao uwezo/sifa ya kuhoji ili ajue lakini hana sifa ya kupinga amri.
 
Back
Top Bottom