Goal Keeper rules...

Mama yangu STD 7 lakini yupo fiti very smart nadhani angesoma angemfunika mzee mbaya angepitiliza hadi PHD
yaani na maphd yenu hamtaweza kufanya mambo hata nusu walofanya hao wazazi wa std 4 mkuu.acha kabisa. mke au mume sio degree
 
yaani unakuta mdad kaolewa na kijana wa watu msomi hataki hata kuongea au kuwaacha watoto kwa bibi yao. eti bibi yupo local local wakati kakuzalia mume smart? mtoto wa nyoka si nyoka jamani?
 
degree haitunzi familia ndugu.muache huyu asasambue tu hapa
 
sinifanyie hivo mtani! Kongosho unamwona best yako???

Haya mtani nimekuelewa mie...halafu Konnie sijapiga naye porojo siku nyingi...ngoja nitamtafuta kwa ajili ya michapo ya hapa na pale...
 
Last edited by a moderator:
yaani unakuta mdad kaolewa na kijana wa watu msomi hataki hata kuongea au kuwaacha watoto kwa bibi yao. eti bibi yupo local local wakati kakuzalia mume smart? mtoto wa nyoka si nyoka jamani?
bora huyo hamwamini mama mkwe, kuna ambao hawaamini mama zao..... wapo local eti, lol!
mimi mwenzenu likizo ndo muda wa kuvinjari enzi za uchumba.......
watoto kwa bibi zao............
tena likizo nyingine usipowapeleka wanaulizia kila siku mpaka utawapeleka
kwa bibi si unajua ni utawala binafsi! na pia wanakutana wa kutoka mikoa mbali mbali basi ni burudani tupu.
ila wakienda kule kwetu zonge unawapa nguo ambazo baada ya likizo wataziacha huko huko, zinakuwa hazifai kurudi mjini, lol!
 
hizo kazi anazofanya hapo nyumbani kwako unamlipa? Au unadhani hatumii nguvu jasho na damu? Unamwitaje golikipa?
 
Kwenye mabaa wasomi wengi ndo wanaongoza kutembea na hao kina dada wauza bar amba wengi hawakusoma.huwapangia vyumba na kuwahudumia kama mke huku wakiwaacha wake zao wasomi wakitembea na vijana wadogo kwa kuwapa senti wanazopata kutokana na usomi wao. Ha haa! Wasomi wa tz bana,na ndo haohao wameshindwa kuikomboa tz,kutoka kwenye lindi la umasikini.
 
Re: Goal Keeper rules...

Vipi ukiishi na mwanamke asiye na kazi wala elimu say maximum form iv... Inakuwaje?

TAARIFA... Hii ni mada hovyo kabisa sioni mantiki yake hapa
JIPANGE acha kukurupuka...
Nilitegemea kuona hizo kanuni hapa!
 


Tuko pamoja sana mkuu.... mada umeielewa lakini? Wengine tulikuwa tunarudi kufanya vibarua ili tupate pesa ya ada, tumekusanya mabaki ya chakula shule tukauza ili tupate ada. heri yenu wenzetu ambao mlisomeshwa hata mnazijua pesa za kuiba mkazifaidi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…