GITARAMA: Jehenamu duniani!

Embu tuanzie hapa kutafuta hiyo 'chumvi' yako.

1. Watu wanaishi wangapi ndani ya gereza hilo kwa sasa?

2. Wanapewa chakula na maji mara ngapi?

3. Gereza limeezekwa na kuundwa upya?

Embu uliza Amnesty International, wanalichukuliaje hilo gereza na wameliweka kwenye nambari gani mpaka sasa kisha rejea hapa.
 
Tatizo la Rwanda inaonekana bado kuna roho za kulipa visasi.siwezi kuwa na imani na magereza ya Rwanda hata siku moja.
Mkuu tuwekee picha za hivi Karibuni za magereza ya huko.
Bora nifungwe Tanzania tu kwakweli.
Kufananisha magereza ya Rwanda na Tanzania, you must be seriously joking. Inahitaji uwe na moyo mpana.
 
Ambacho hakijaeleweka ni nn hapo ndugu?
Sijaelewa hao Global Giving wana ufadhili wa mashirika mawili ila pesa walizofanikiwa kuchangisha ni dola 325 ,hayo mashirika pesa walizotoa ndio hizi dola 325 ?
 
Sijaelewa hao Global Giving wana ufadhili wa mashirika mawili ila pesa walizofanikiwa kuchangisha ni dola 325 ,hayo mashirika pesa walizotoa ndio hizi dola 325 ?
Hapana, hizo ni pesa zilizochangwa toka kwa watu. Hawajaweka wazi pesa toka kwa wafadhili
 
Tadmor Military Prison liko Syria nalo ni msala ingawa lina miundo mbinu nafuu kulinganisha na Gitarama ila unaambiwa kuna mwaka lilikua jela ya hatari zaidi duniani alafu USA inaongoza pia kwa kua na worst prison kwenye top 10.
 
USA wamejaza list. Kuna la Brazil ambalo mpaka sasa limebaki makumbusho.

Nikipata muda ntalichimba
 
Ndugu SteveMollel kwanza sina sababu ya kuuliza Amnesty international kuhusu gereza tajwa kwa sababu mimeshalitembelea mara nyingi.
1. Sina idadi kamili ya watu walioko katika gereza la Muhanga ila kwa kiasi kikubwa wanalala kwenye magodoro na vitanda vile vile.
2. Siku za nyuma walikua wanakunywa uji asubuhi na wanakula chakula jioni.
3. Lile gereza mwaka 2014 liliteketea kwa moto kwa kiasi kikubwa, kwa hio limefanyiwa ukarabati mkubwa kabisa na linaonekana la kisasa.
 
Bwana Mibas, kuhusu hilo swala la moto, je nawe ni moja ya watu wanaokubali kwamba wakati linaungua wafungwa walikuwa wametolewa nje kwa mujibu wa maelezo ya Serikali?

Na je ni nini maneno yako kuhusu gereza hilo kutumika kama chambo teso ya wa Hutu?
 
USA wamejaza list. Kuna la Brazil ambalo mpaka sasa limebaki makumbusho.

Nikipata muda ntalichimba

La Brazil itakua lile Carandiru maana unaambiwa wafungwa wanaona bora wajiue tu kuliko kuendelea kuishi kwenye hiyo Jehanamu.
 
Mkuu embu rejelea ile picha ya idadi ya watu alafu tulinganishe na idadi ya hivyo vitanda umavyosema wanalalia.
 
La Brazil itakua lile Carandiru maana unaambiwa wafungwa wanaona bora wajiue tu kuliko kuendelea kuishi kwenye hiyo Jehanamu.
Kabisa! na umbali tu wa kilometa kadhaa unakutana na mojawapo likiwepo Venezuela. Ni heri ukafa.
 
Hiyo picha ya watu waliolaliana ,siyo jela ya Ghana hyo kweli

Hiyo picha ni ya moja ya jela huko Ghana na siyo Rwanda
Zipo picha nyingi sana za Gitarama. Zikiwekwa mtandaoni chuki dhidi ya PK itaongezeka. Kwa mfano:

Lango la kuingilia hiyo Jehanamu

Jamaa wamepumzika ndani ya Ngome. Ni ngome isiyokuwa na mfano:

Hii picha ni ya Gitarama

Hiyo sijakataa ila kuna documentary Fulani hv ilikuwa inaelezea jela moja ipo Ghana,nayo inatisha balaa ,ss hyo ya watu wanaolaliana ilikuwepo hapo watu nyomi balaa

Kama hyo ya Rwanda pia hali inatisha ase Un waingilie kati
 
Imefika mahala utu wa binaadamu lazima uheshimiwe. Watu kama PK wanajifanya wasafi na malaika kumbe hawana hata chembe ya utu!
 
Mkuu, kama huamini kwa maandishi nenda basi hata You tube ukatazame documentary.

Na kwa taarifa ni kwamba, hii sio sehemu pekee watu hufanyiwa hivi. Tena zingine zipo huko huko unapopaona wewe hawawezi fanya hivyo.
Akimaliza hapo muambie atafute Abu ghuraib ilivyokuwa/ilivyo,Guantanamo bay. Halafu atafute yanayoendelea mji mmoja unaitwa Qalqiya ,upo huko Palestine.
 
Binadamu wanakulana!_kweli dunia inaelekea ukingoni.And thus is why killing people now days is much easy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…