Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,515





ndo umeamua urahisishe mambo kiasi hiki??
Nakuwa nayo ya nini? Si ya kuwasiliana na watu wangu wa karibu na wale wanaonijua? Sasa wewe usiyenijua naachaje kukuuliza umetoa wapi namba yangu? Kwanini huwa hamuwezi kujibu hilo swali?



