Girls born in 1990

hata nikifika 30 haijalishi.. kudanganya umri imooo. sema cha muhimu kumaintain mwili
 
Inaonekana limekuuma,hahahahaah
 
Nenda kasome Mithali 31 yote ndo imeelezea sifa zote za mke mwema halafu uje utuonyeshe mstari kutoka humo unaosema kuwa sifa mojawapo ya mke mwema ni kuwa bikira

Mkuu wewe kila siku nikupe vifungu
 
Kiiruu ndo umejua leo? Pole mwaya mbona watu wengi wanajua na mimi mwenyewe ndiyo niliwataarifu kuwa nimebadili ID au ulitaka hadi nikuombe wewe ruhusa?
Marianah njoo hapa utueleze kwanini umebadili ID toka Edelyn kuwa Marianah.
FYI nimejua.
 
Kiiruu ndo umejua leo? Pole mwaya mbona watu wengi wanajua na mimi mwenyewe ndiyo niliwataarifu kuwa nimebadili ID au ulitaka hadi nikuombe wewe ruhusa?
Haki ya nani mwanaume mwenye mwanamke wewe ana kazi ya ziada ya kudeal nawe. Ulivyo kabishi ka busha la mzee wa Tumbatu umegeuza mada kuwa ni kujibu swali la wapi mtu amepata namba yako. Shubaamit maisha kama magumu achana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…