nimeanza kukuchukia
chuki imeanzia wapi tena jamani?
nimeanza kukuchukia
wewe ndo unamponza mwenzio muulize nilishampiga kibuti akaomba msamaha
kwa hiyo na Mokoyo nae yupo kwenye mchujo au ashapasi yeye??
hawakupata hata sh kumi just kujikweza tu,naomba nisubiri kauli kutoka kwa miss chagga kwamba wewe ndo tulizo lake halisi la moyo na baba yake mlezi utafiti then nikupe hongera zako.
we Ntuzu na hao wenzako naombeni muiche my family!nampenda sana mpnz wangu [MENTION=19697utafiti na my daughter [B]miss chagga[/B] kwahivo gonna panish every 1 ambaye anawadisturb. miss chagga niuzie hii kesi kwa bei yoyote niiungurumishe mother house mwenyewe.
nilisha-win mchujo, confirmed miss chagga ni wa kwangu, namalizia mahari tu kwa baba yake utafiti<!-- google_ad_section_end --> ingawa.....
miss chagga confirm this please mbona kimya?
sasa sweet huku ni kudhalilishana, kwakuwa nilikuomba msamaha ndio imekuwa matangazo?
chuki imeanzia wapi tena jamani?
mrs utafiti kukucd anataka anunue kesi ya mwanae miss chagga wakati nyumba yake inaungua,mmewe mabazazi wa kike wanamgombea mpk kumwanzishia thread.Teh Teh Teh Teh ! Mndengereko Mr Rocky Mokoyo Ebu pitieni hapa muone mkwara Mbuzi anaotoa kukucd Mrs utafiti Au yahaya km anavyojulikana!
miss chagga muuzie Hiyo kesi bureeee mami yoyo aanza ku deal na Sisi!
mrs utafiti kukucd anataka anunue kesi ya mwanae miss chagga wakati nyumba yake inaungua,mmewe mabazazi wa kike wanamgombea mpk kumwanzishia thread.
nina gubu unalo nipe hela
hamjamalizana tu,kama anakuzingua mamito njoo kwangu kwa nini uishi kwa stress wakati unaweza kuishi free from stress kwangu
ha ha h stress free siwezi amini utanipenda zaidi ya baba yangu
sio baba yanko tu nitakupenda zaidi ya mama yako si unajua mama huwa ana unconditional love kwa mwanae,so ukinikubali i swear kindengereko hutojuta,nitakupenda zaidi ya na zaidi
ameen i cant wait for that day.....wiki ijayo nitakupa nafasi
sio baba yanko tu nitakupenda zaidi ya mama yako si unajua mama huwa ana unconditional love kwa mwanae,so ukinikubali i swear kindengereko hutojuta,nitakupenda zaidi ya na zaidi
wiki ijayo nitakupa nafasi
ameen i cant wait for that day.....
pokea hilo in advance
![]()
naweka na zawadi ulizonitumia wakati wa kuniomba msamaha