Gheto rules

Gheto rules

gheto rules,pasu kwa pasu,hamna kudhulumiana


1779859_631737450196442_992619093_n.jpg


mshikaji anaweza kuhamisha punje moja moja mpaka mzani ulingane
 
Last edited by a moderator:
Hapo hakuna wa kumzidi mwenzie, ni haki sawa kwa wote, kama wewe unapiga chuma ukitarajia kufikiriwa kwenye mgao wa chakula imekula kwako
 
Teh Teh Teh wakibisha tu nawaita!
we Ntuzu na hao wenzako naombeni muiche my family!nampenda sana mpnz wangu [MENTION=19697utafiti[/MENTION] na my daughter miss chagga kwahivo gonna panish every 1 ambaye anawadisturb. miss chagga niuzie hii kesi kwa bei yoyote niiungurumishe mother house mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Chakula kitu kidogo sana, sio kitu cha kutolea macho, huyu chakula kinamtoa sana roho
 
we Ntuzu na hao wenzako naombeni muiche my family!nampenda sana mpnz wangu [MENTION=19697utafiti[/MENTION] na my daughter miss chagga kwahivo gonna panish every 1 ambaye anawadisturb. miss chagga niuzie hii kesi kwa bei yoyote niiungurumishe mother house mwenyewe.


Teh Teh Teh Teh ! Mndengereko Mr Rocky Mokoyo Ebu pitieni hapa muone mkwara Mbuzi anaotoa kukucd Mrs utafiti Au yahaya km anavyojulikana!

miss chagga muuzie Hiyo kesi bureeee mami yoyo aanza ku deal na Sisi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom