nimekwambia acha ushabiki na hawa watu
mbona masharti magumu hivi jamani, si nitakuwa bushoke mie
nimekwambia acha ushabiki na hawa watu
nimewaona, nimewasoma na nimewasikia Mndengereko na miss chagga. Najipanga kwa hatua zaidi
leo ndo mwisho wa kulipa mahari
mbona masharti magumu hivi jamani, si nitakuwa bushoke mie
we nawe umetokea wapi sisi tushamalizana tayari usisturudishe nyuma.
miss chagga siku hizi tunaombana pesa hadharani?
thank u so much.... ila hela ndo muhimuameen i cant wait for that day.....
pokea hilo in advance
![]()
thank u so much.... ila hela ndo muhimu
Mokoyo mwisho wa kulipia mahari ni leo..... wiki ijayo ni wewe ukishindwa nampa nafasi mwingine loh
sio mwingine weka wazi tu jamani kwamba ni Mndengereko
Ulipata DIV ngapi?Daa unankmbusha mbali sana wakat nkiwa nasoma nkapewa sunspection nkaenda kuish mageton!
usijali litajiri langu lenye pesa