Gheto rules

Gheto rules

Mokoyo baba mkwe unaye aise jitahidi hata siku moja moja umepelee mahindi na mchele gunia aache ubahili bana
 
Last edited by a moderator:
baba ana nyumba kubwa

nyumba kubwa wakati tunaona kiti,meza,jiko ndoo,meza kila kitu kipo sehemu moja hatuelewi hapo ni jikoni au chumbani.... Hahahaha naona mtoto una unconditional love kwa baba yako ,hongera sana.
 
Last edited by a moderator:
walikupiga shilingi ngapi mkuu?


Kua makini umewaona na Wengine Hapo? utafiti anafanya biashara! Maisha yenyewe ya Gheto! Msosi kwa kupimiana Unafikiri ataacha kumuuza [MENTION=180403]miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom