hahahahah Mokoyo mwenyewe anaonekana anaanza kumpoteza miss chagga sasa sijui hiyo mahari atatoa ya kazi gani
sasa mbona unaanza kutoa siri za ndani???wewe ndo unamponza mwenzio muulize nilishampiga kibuti akaomba msamaha
hahahahah Mokoyo mwenyewe anaonekana anaanza kumpoteza miss chagga sasa sijui hiyo mahari atatoa ya kazi gani
miss chagga leo naona ana hasira leo kila mtu ana mchukia kaanza kwa hubby wake Mokoyo sasa kafuata kwako shukuru mungu sio mod la sivyo ungekula ban,naona hasira zake atazimalizia kwa baba yake utafiti
sasa mbona unaanza kutoa siri za ndani???
miss chagga leo naona ana hasira leo kila mtu ana mchukia kaanza kwa hubby wake Mokoyo sasa kafuata kwako shukuru mungu sio mood la sivyo ungekula ban,naona hasira zake atazimalizia kwa baba yake utafiti
hahaha mimi hata simponzi namuuliza tu maswali,mengine mtamalizana wenyewe ...mponze mwenzio tu aisee
miss chagga leo naona ana hasira leo kila mtu ana mchukia kaanza kwa hubby wake Mokoyo sasa kafuata kwako shukuru mungu sio mood la sivyo ungekula ban,naona hasira zake atazimalizia kwa baba yake utafiti
Tangu lini mtoto akamkasirikia baba yake? Eti miss chagga nani kakuuzi?
Wasikumize kichwa baby nenda kwa kukucd hao wengine hawafai