Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,488
- 145,826
katafute tafsiri ya neno date then ulete uzi wako hapa!
Tarehe
katafute tafsiri ya neno date then ulete uzi wako hapa!
Mijitu mingine bana khaaa! kwa hiyo wee ukiskia maendeleo unajua ni ujenzi wa zahanati, shule na barabara tu? Kwa taarifa yako- leisure na entertainment ni sehemu kubwa sana ya maendeleo na hata ukiuza mechi ukamjaza mtu si mnaongeza labour force? Nenda shule kijana..Acha kushabikia uzinzi kijana. Hapa tunajadili masuala ya kujenga, mustakabali wa Taifa.
hahahahahaha umeona eeh but hata the word "dating" comes from kwa hao hajamaa soma hapa then utafahamu kuwa katika dating hiyo ngono unayoishabikia haipoDate yangu ya kibongo bongo, usharo wa google na wikipedia hukohuko nchi za watu ulipolowea sio kitaa..
hahahahahaha umeona eeh but hata the word "dating" comes from kwa hao hajamaa soma hapa then utafahamu kuwa katika dating hiyo ngono unayoishabikia haipo
mmmh watu noma siku ya kwanza tu taayari!!! sina la kusema"The protocols and practices of dating, and the terms used to describe it, vary considerably from country to country. The most common idea is two people trying out a relationship and exploring whether they're compatible by going out together in public as a couple, who may or may not yet be having sexual relations."
Soma rangi blue hapo juu ndo utajua namaanisha nini, kibongo bongo akikubali tu mtoko kaishaaaa!! Yani usipochinja mtoko wa kwanza hata washkaji watakucheka, akiwa mbishi unamuongeza tu amarula (most of them cant resist a drink!).
Na hapo kwenye red, ina maana watu wanaodate wanaweza kuwa wanachapana kama kawa sio kama we unavosema hakuna sex.