Gharama za vidate..

mi mwenyewe nimeshangaa.....atakuwa alikuwa anakunywa alvaro.....?
Hebu wee Preta na Lara niambieni nyie magoli ya short time huwa mashefa wanaspend bei gani? Mi viwanja vyangu mitaa ya sinza nimemaliza, huko kwa mafisadi na watalii sipawezi bana na hiyo kilo naiskilizia maumivu hadi leo hii.
 
Gharama ndo issue hapa, tena kama huna wa kudumu na unaokota okota ndo utajikuta mshahara wote unaishia huko. Mkuu unatumia chimbo gani?

sasa wewe unataka vizuri unaogopa gharama? Kuwa naye mmoja tu i mean kuwa na mpenzi mmoja au mchumba mmoja au mke mmoja, ukiwa na pesa mnatumia na ukiwa huna baasi.....

Hata siku moja wajanja hatutumii mishahara, mshahara unafanyia maendeleo, sasa ukitumia mishahara utaendelea lini kaka? halafu mshahara unauma, me mwenyewe kutumia mshahara hata kwa lunch nafeel uchungu.
 
You can probably get away with it kama hujitumi sana, feni tu inaweza ikatosha. The problem is mimi nahaha uwanja mzima kama fabregas, napiga miguu yoteyote kama Ronaldo, bila kiyoyozi mtu unaweza kudhani shuka zimemwagiwa maji!!

Khaaaa!jamani umenichekesha.....
 
Hapo chacha,40 kwa kunywa,huyo mbona cha mtoto!? anatumia nn hyo maana km ni mimi,itazidi 60,bado cjalala sehem ya maana!bad enough,hujanipa hela yangu!!?....so huwez kwepa gharama unless uwe na kazi ya nje permanent.
 
You can probably get away with it kama hujitumi sana, feni tu inaweza ikatosha. The problem is mimi nahaha uwanja mzima kama fabregas, napiga miguu yoteyote kama Ronaldo, bila kiyoyozi mtu unaweza kudhani shuka zimemwagiwa maji!!

maana yake ni kuwa kiboga pia wala...
 
Hii sisi haituhusu, zetu sisi tunaishia uwanja wa fisi, bei karibu na bure!.

Hebu acha ubahili wewe! Laki 1 tu ndio unaianzishia uzi? Wapo wadada wanaogharimia kila kitu hata kama ni 1m,unawataka? Ila ndio uwe tayari kupokea amri, yeye ndo anasimamia show! Upo hapo?
 
Hebu acha ubahili wewe! Laki 1 tu ndio unaianzishia uzi? Wapo wadada wanaogharimia kila kitu hata kama ni 1m,unawataka? Ila ndio uwe tayari kupokea amri, yeye ndo anasimamia show! Upo hapo?

Whats all the struggle for Nasema??!!
Aje huku Kigamboni watoto wa IFM ukimhakikishia mlo wa jioni tu ni wako! wai...
 
Last edited by a moderator:
Yaani hiyo naniliuu hairidhiki wala nini,ukisema ndo target yako ni kuiridhisha hiyo naniliu utalosti..literaly
 
So hata mkeo mtakuwa mnaishia hotel co?muhimu tafuta kwako pafanye utakavyo km a/c na kila kitu..nina uhakika migharama isiyo na lazima itapungua..pia utulizane..
 
Hii nimeona niilete hapa jamvini tuijadili manake nimegundua kuwa kama una kidate na dame decent, mkikaa sehemu- mkala na kunywa then mkaingia chimbo kumalizia na mchezo, gharama yake ni at least laki moja! Meaning kama unaendekeza huu mchezo, ukipiga mara 10 tu milioni imekatika! Chimbo nililochukua mimi lilikua elfu 60, kula na kunywa 40 ikakatika. Tutajenga kweli? Kuna watu wanapiga hii michezo almost daily, how do they afford? Ni machimbo gani yako decent ( kwangu AC ni lazima!) hapo dar na yanapatikana kwa bei poa?

Nikawa namuelezezea mhadhiri mmoja wa kule chuo kikuu hii issue, akacheka sana akasema ni kawaida sana, kuna group la wakware fulani hapo mjini alisema anawafahamu, ni watu wenye familia zao lakini wamekuja na strategy ya kupunguza gharama kwa kupanga flat ambayo ni full furnished na wanalipa laki 2 kwa mwezi kwa ajili tu ya kuchinjia tu na hiyo rent wanachanga. Is this the way forward?

KKN​
katafute tafsiri ya neno date then ulete uzi wako hapa!
 
So hata mkeo mtakuwa mnaishia hotel co?muhimu tafuta kwako pafanye utakavyo km a/c na kila kitu..nina uhakika migharama isiyo na lazima itapungua..pia utulizane..

Mwee, joto hilo la Dathalama, mlupo wa kuokota uuingize ghetto fullu kiyoyozi, screen kubwa, vimiminika vya kumwaga, si unajitafutia matatizo tu! Utaishia kulogwa tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom