Savimbi Jr wapi kuna kiwanja cha 1m dar es salaam?
Umetumia ramani gani mkuu!!?
Chumba kimoja cha master nimetumia tofali 500 za block, bati 21, mbao 40, mifuko ya simenti 17, nondo 2, mchanga trip 4, ukijumlisha na vitu vingine vidogo vidogo kama maji, misumali, nk imetumika 3.7 mil pamoja na fundi. kwa hesabu hiyo choo hesabu yake haimo, lakni kama anajenga mbao za kwake, maji ya kwake, mawe ni ya karibu, mchanga ni wa karibu, anaweza kumaliza au kuongeza kidogo.
Mmmh!!! Sijui iweje, hyo hela mmmm!
mie nilikua na gofu, nikalipaua weka bati , gypusm tiles umeme , bafu ndani kwa 6 mil
so approx apo unaweza ,,,kama una kiwanja utafanikiwa
Mtie matumaini tu kama hajalala ndani ya pagale.
Watu mnapenda kubanana mjini huko... xr. Viwanja mlandizi,kibaha,kibamba n.k huko unapata tena kwa bei nzuri kabsaaa
...Choo peke yake kuchimba, kujenga na kufunika si chini ya 3m.