Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,765
- 61,406
Mleta uzi,tupe mrejesho...ulishaamia?
Mkuu ile ilikuwa 2015 enzi za JK sasa kuna JPM hesabu zingine fyekelea mbali hesabu iliyopo ni kula lipa ada ya mtoto basMleta uzi,tupe mrejesho...ulishaamia?
[emoji23][emoji23][emoji23]His Excellency mh mtukufu Dr JPJ [emoji23][emoji23]Mkuu ile ilikuwa 2015 enzi za JK sasa kuna JPM hesabu zingine fyekelea mbali hesabu iliyopo ni kula lipa ada ya mtoto bas
Ha ha ha ha pole mkuu,kama unatumia formula: Kula 4 + Kodi 3 + shule 5 + usafiri 3=15 badili na iwe: Kula 2 + Kodi 1 + Shule 2 + usafiri 1 + ujenzi 9 =15,kwa kuanzia jenga nyumba ya kawaida mfano iwe na; chumba 1,sebule,jiko na choo ndani.Mkuu ile ilikuwa 2015 enzi za JK sasa kuna JPM hesabu zingine fyekelea mbali hesabu iliyopo ni kula lipa ada ya mtoto bas
👊🏾👏🏾Nakushauri uanze usisubiri upate hela zaidi.
Mimi nilianza na laki mbili