ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,282
- 541
Mi naona anaweza na inatosha kuna tecnolojia flana wanatumia kule mlandizi wanafyetua tofali za udongo zimechanganywa kidogo na cement its vry cheap na tofali bora sana....mbao za kupaua atatumia chache kama atatumia zile bati za kawaida(silver) choo shimo la nje kama laki tatu kila kitu ila liwe moja tu lile la round basi....inaatosha kaka...fanya utafiti wote kabla hujaanza usije kosea kitu ukaingia garama.