shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
Wadau niaje?
Naombeni msaada kwa bajeti ya milion 5.. unaweza ukajenga chumba (master) na sebule mpaka kikakamilika kila kitu
KIWANJA NINACHO TAYARI. HELA HII NI UJENZI TU.