Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

Pesa ndogo Sana hiyo
Screenshot_20220516-211833.png

Ushamba tu na roho mbaya zinawasumbua! Humiyo gharama kwa hotel kubwa ni ndogo mno! Hapa Tanzania tu kuna hotel zina bei kubwa kuliko hizo. Sijui mnaishi mapori gani hata hamna habari.
 
Ninyi exposure yenu ndogo hadhi ya Rais anapaswa kukaa maeneo yenye security!

Unataka abanane na Roma manzese za Marekani?

Pia in Order to earn you must first inject something!

Hizo ni operating costs ambazo tunasubiri a faida

Hadhi ya rais wa Tanzania huko US?! Rais wa Tanzania ana hadhi gani huko US?
 
She is president even though hana hadhi kama Biden
Hakuna justification yeyote kwa gharama zote hizi.

Ukizingatia ukali wa maisha tulionao na uwezo wa nchi yetu kumudu luxury kama hizi.

Kama kweli zimelipwa na wadau.

Hao wadau ni kina nani na wanafanya hivyo kwa malengo gani??

Kwanini huyo msamaria mwema hatumfahamu mpaka sasa??

We need an independent investigation into this matter As soon as practicable so as to clear our highest office in the country from any scandals unless we agree to condone such malpractices.
 
Inakuwa kama water Get
 
Ushamba tu na roho mbaya zinawasumbua! Humiyo gharama kwa hotel kubwa ni ndogo mno! Hapa Tanzania tu kuna hotel zina bei kubwa kuliko hizo. Sijui mnaishi mapori gani hata hamna habari.
😀😀watu wanashangaa Rais na delegates wake kulala chumba cha 1.5 m nchini Marekani..
 
Wakati bongo kuna hoteli kwa siku $20000
Hiyo 700$ mbona ya kawaida sana

Ova
Lipa wewe kwa pesa yako hujakatazwa.

Ila kama ni fedha za umma tunyo haki ya kuuliza.

Ukizingatia ugumu wa maisha tulionao na utaratibu wa kukopa kwenye mambo ya msingi lakini kwenye bata kama hizi fedha zipo za kutumbua.
 
Back
Top Bottom