Huyu dogo anaumwa au ana hangover? Nakumbuka jana alianza kunywa mipombe kuanzia saa 4 usubuhi.
https://www.jamiiforums.com/members/bigirita.htmlYani Tanzania Distilaries halafu unaweka kibua kilichochinjwa plus shanghai unafikiri utapata nini kama sio Malaria.
kazi yangu ni kugonga senksi kwa useful post tu!!
Thank you guys i am doin much better
Nimeskia unaumwa and now uko hsp unacheki afya,pole sana jamani kama ni malaria,tumbo la ku kuhara,kichwa au chochote basi kishindwe na upate kuwa mzima tena na tena ili urudi jamvini,Get well figher!:A S thumbs_up:
Huyu dogo anaumwa au ana hangover? Nakumbuka jana alianza kunywa mipombe kuanzia saa 4 usubuhi.
Thank you guys i am doin much better
Get well soon The Finest
Na pole zaidi kwa hizo tuhuma za ulabu.
What happened uka shindwa kujikontro?????
jibu tuhuma kaka nasikia ze spirit of ze nation iliku spirit.....l.o.l
Pearl..............Umesikia toka wapi kuwa anaumwa?
nakujua huwa hupendi habari bila source.