Get well THE FINEST!

Get well soon The Finest

Na pole zaidi kwa hizo tuhuma za ulabu.

What happened uka shindwa kujikontro?????
 
Huyu dogo anaumwa au ana hangover? Nakumbuka jana alianza kunywa mipombe kuanzia saa 4 usubuhi.

Basi hakuna haja ya mm kuanza pombe tena, nitamfunika hata Finest. Mkubwa ugua pole mzee
 
No need to worry Finnest, I know that you are going to get well soon na kurejea kwenye mitikasi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom