Get well THE FINEST!

Rip Finest! Andika urithi nampenda shemeji! Ninakuhakikishia haya ona tofauti! Wote safari ni hiyo tangulia salama
Lizzy ameona hii?
sasa kama kuna wazee wa chabo.........mimi ni mzee wa umbea......nampelekea.
hii ni gia ya kukumaliza pande ile. (usisome tena PM zangu)
 
Lizzy ameona hii?
sasa kama kuna wazee wa chabo.........mimi ni mzee wa umbea......nampelekea.
hii ni gia ya kukumaliza pande ile. (usisome tena PM zangu)

Lizzy is so perfectionist hana time na wambeya! Itakula kwako
 
Pole sana Switi Hati.. Ngoja nipande ndege ya kwanza kesho asubuhi nije kuku uguza... Ama unahitaji kurudi huko Arachuga kupata DOZI nyingine??
 
Back
Top Bottom