Get well THE FINEST!

Hivi mkuu hauna klorokwini kwa ajili ya uporoto01.
haisaidii mkuu! jamaa klorokwini anaona kama lolipop tu. la kufanya ni kumuombea aflodenzi apigwe ban hapa jf. hii ndio ze onli opshen availebo. naongea nikiwa kama dr. wa mambo ya mahusiano na cheating in east africa mashariiki na kati
 
Unaonaje kama tukimgonga ban uporoto01 ya miezi 6
 
Mkuu nasikia umeishaanza kushambulia ngome yangu lol!
Hahaha!Mkuu hizi taarifa potofu ni kama za Arusha eti kulikuwa na magaidi kutoka Colombia mi AD ni rafiki wa kawaida labda ukiachia mzigo ndio nianze na sitaomba ufe kama Rev.
 
haisaidii mkuu! jamaa klorokwini anaona kama lolipop tu. la kufanya ni kumuombea aflodenzi apigwe ban hapa jf. hii ndio ze onli opshen availebo. naongea nikiwa kama dr. wa mambo ya mahusiano na cheating in east africa mashariiki na kati
Hivi ni wewe swahiba ? wandengereko wana ngoma yao inaitwa 'nikitoka kidogo nyuma wanisengenya'
 
Back
Top Bottom