Bei Mbaya
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 2,262
- 854
Inavutia kuona mwenyewe kang'aa
Na kutumia Mjumbe kuwakilisha. how sweeet!
Sio ishu.
miss chagga na masai dada sio mtu mmoja?
Last edited by a moderator:
Inavutia kuona mwenyewe kang'aa
Na kutumia Mjumbe kuwakilisha. how sweeet!
Sio ishu.
Sasa mi' nitajuaje ndugu?miss chagga na masai dada sio mtu mmoja?
Malaria inatibitika ukiona inakusumbua sana ufanye kipimo kikubwa inaweza kuwa tayari.
Unaweza kula na salad
(kachumbar) hakikisha vinakuwa vingi tu, na unaweza kula peke yake na
unasukumia kwa maji.
Kasoro ustahamili harufu ya mdomo tu, lakini kwa afya na harufu, mimi na
prefer kuistahamilia harufu ya muda kwa afya yangu.
Jamani wana mmu memba mwenzetu miss chagga anaumwa malaria inamsumbua sana maombi yako muhimu
miss chagga na masai dada sio mtu mmoja?
miss chagga na masai dada sio mtu mmoja?
Jamani wana mmu memba mwenzetu miss chagga anaumwa malaria inamsumbua sana maombi yako muhimu
duh?!!,hili janga kumbe,muwe mnajichunga sana jaman,ooho.FaizaFoxy...vitunguu maji vinatafunwa peke yake ama? malaria inanisumbua pia
naona anakuonea bana,kwanza style yako na ms chaga ni tofauti sana.alafu si vyema kuongea uongo mkuu unaleta masihara mwenzio anaumwa mimi nipo huku tangu ijumaa nilivyo saini auti kunako ofisi mpaka muda huu afu iweje niwe miss chagga