JESUS NEWS RADIO
Senior Member
- May 21, 2025
- 124
- 158
Kwa muda mrefu moyoni mwangu nimekuwa na tamanio moja kubwa – kuitumikia jamii kwa njia ya Injili kupitia vyombo vya habari. Leo hii naandika nikiwa na furaha kuu moyoni, nikimshukuru Mungu kwa kuniwezesha kutimiza ndoto hii: JESUS NEWS Online Radio imezaliwa na ipo hewani sasa!
Hii ni redio ya mtandaoni yenye kusudi moja kuu: Kumwinua Yesu Kristo kwa kila namna, kwa kila taifa, na kwa kila kizazi. Kupitia nyimbo za Injili, mahubiri yenye Neno la kweli, maombi ya kiroho, na vipindi vya kuinua moyo, tunalenga kuwa sauti ya tumaini kwa wale wote wanaohitaji faraja, upendo, na nuru ya Mungu katika maisha yao.
Ninakukaribisha kwa upendo mkubwa usikilize, ushiriki na utuunge mkono kwa maombi. Huu ni mwanzo tu – lakini kwa neema ya Mungu tunaamini yatatimia makuu.
Sikiliza moja kwa moja hapa: [Jesus News Radio]
Maoni yako ni ya muhimu – tujulishe umeisikiliza na umebarikiwa vipi.
Namshukuru sana Member mwenzetu Kigger kwa Support yake kubwa sana hadi kufanikisha Jambo hili Kubwa na hamasa yake kupitia uzi wake wa Nimefanikiwa kufungua online radio