Get well soon miss chagga

Get well soon miss chagga

loh, malaria haikubaliki jamani, miss chagga si nimemwona hum jana tu, get well soon mamii!
 
Last edited by a moderator:
FaizaFoxy...vitunguu maji vinatafunwa peke yake ama? malaria inanisumbua pia

Unaweza kula na salad (kachumbar) hakikisha vinakuwa vingi tu, na unaweza kula peke yake na unasukumia kwa maji.

Kasoro ustahamili harufu ya mdomo tu, lakini kwa afya na harufu, mimi na prefer kuistahamilia harufu ya muda kwa afya yangu.
 
Back
Top Bottom