mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,697
- 9,051
Jamani wana mmu memba mwenzetu miss chagga anaumwa malaria inamsumbua sana maombi yako muhimu
Last edited by a moderator:
get well soon miss chagga
wapi utafiti
Nipo miss neddy tulikua tunaugua wote ila mm nimepata nafuu jana na leo niko fine