Naona lile picha la Kihindi limekaribia kuanza...
Muuguze huku ukiendelea kuchaguaMh sasa mbona unanitega mpenzi?
Hutaki nimuuguze mwenzio?
Aki ya nani wewe hushindwi..!!
Nikiachwa nahamia kwa mwanao charminglady
Aki ya nani wewe hushindwi..!!
Aaaah wapiMbona walegeza kamba bi mkubwa...au ulikuwa watikisa tu kiberiti!!
sawa mdogo wangu, nimekuacha.