Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
avatar yako inamaliza apetati ujue
Baba V na wewe mwenyekiti unawatamani raia wako?
Lol nilidhani baba wa nyumba anakuwa na heshima kwa wanafamilia ila naona unavizia mabinti wako lol
Angalia usijeishia hadi kwa Mahausi geli
Aisee eroo acha hizo mambo zako bhana utaniudhiHahahahaaa
mtatema hadi ndimi zenyewe lol
We babu viipii
Khaaah kutaka tu misifa...!!
Naona kiti kinakushinda sasa
Aisee eroo acha hizo mambo zako bhana utaniudhi
Khaaa yan hata niwaaambieje wananipenda tu lol
Mahaba ya dhati meeeen!
Ila najua kucare siunaona niko na Kipipi namuuguza hapa hata kazini sijaenda...then unadhani ataacha kunipenda kwa miguu yake yote?
Kweli una kismati aisee...
Kismati wapi!!!?? miziziology at its best...
HahahahahaaaaaOk meeen, unakuwa mkaali, kizuri kula cheaman wako bhana...