Get well soon Erickb52

Get well soon Erickb52

Pole dogo Erickb52 nini tena jamani
small_high_1_1210.jpg
Pole sana.
 
Last edited by a moderator:
samahani Paw samahani sana!
nimemkuta mkeo King'asti analalamika kwa baba yake Mtambuzi kuwa unataka kukata kamba!
sasa nauliza tu!manake baba mtu ameamua kabisa kumpa maujanja mwanae sasa halahala kama kweli ulikuwa na hiyo nia hebu muonee huruma mwenzio mara hii umshasahau twisheni anayopata tpka kwa natalia!
Bila samahani ingawa hapa si mahala pa kulifafanua hili. Nikuhakikishie tu kwamba huyu mke huyu ni best over all kichwani. Ameenda kupata maujanja ya kunogesha na nimevutiwa na gia alioenda nayo kwa mkwe.... She is good bana
 
nimepewaaaje za uso!
lol! King'asti asione haya makavu niliyopewa mamaaa mbona nitahama humu!
BASI YESHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom