Get well soon Erickb52

sweetlady

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
16,960
1,250
Wapendwa wa chit chat naona bado jinamizi la magonjwa linaendelea kuliandama jukwaa letu!


Naomba tujumuike pamoja kumwombea mwana chit chat mwenzetu Erickb52 kwani yu mgonjwa kitandani!


Nawaita kwa moyo wa upendo Filipo, Mungi, PakaJimmy, Arushaone, watu8, Madame B, cacico, gfsonwin, nitonye, Kaizer, Asprin, charminglady, nivea, Preta, Lily Flower, marejesho, Blaki Womani, Kipipi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, King'asti, Paw, Husninyo, snowhite, platozoom, Ndahani, Invisible, Nicas Mtei, figganigga, Bujibuji, babu Dark City na wengine wote!


Njooni tulikemee kwa nguvu hili pepo la maradhi linaloliandama jukwaa letu msimu huu wa sikukuu, tena katika kipindi hiki tunajiandaa kwenda kula bata tanga!
Pole sana Erickb52, hakika Mungu wetu ni mwema na kamwe hamtupi mja wake, nna imani maombi yetu jumlisha na dawa unazokunywa mambo yatakuwa safi soon! Kesho Filipo atakuletea supu asubuhi , PakaJimmy ataleta chipsy kuku mchana na jioni tutakuja na mke mwenzangu marejesho kukupikia kile chakula ukipendacho! Ugua pole sana &Get well soon dearest!
 
Last edited by a moderator:

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,823
2,000
angekua Arushaone ningesema ni ndofu zimemfanya aumwe sasa huyu b52 tusemeje? au jana alipata kiburudisho kutokana na ukame akaovadozi na leo akamuka viungo vinauma?. kiding... Pole sana rafiki yangu Erickb52. nakutakia upone haraka. Nakupenda sana. mia
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom