Sitaki supu ya wanaume!
Ushawekwa kwenye chupa wewe!
Khaaa! Huna huruma na mgonjwa wewe! Muone vile!
Kama ni hivo mbona utaponaa!!!!
Hahahaha! Mashauzi dot com ! Ndio mana anamtongoza Erickb52 mbele ya macho yako afu unajfanya huoni!Hahaaaaaaaaaaaa afu Lily Flower kasahau kufunika chupa ndo maana nachungulia, kwa jinsi nnavyompenda hata akiniweka kwenye chupa poa tu
Hahaaaaaaaaaaaa afu Lily Flower kasahau kufunika chupa ndo maana nachungulia, kwa jinsi nnavyompenda hata akiniweka kwenye chupa poa tu
Ushawekwa kwenye chupa wewe!