Nendeni jukwaa la wakubwa mkayazungumze hayo kwa kirefu zaidi, hapa mnatuharibia maombi na sala zetu kwa mgonjwa.
Hahaaaaaaaaaaa hayo masharti ulimpa magumu Erickb52 asingeyaweza.............. ila mimi ningeweza
uo sio ugonjwa wa kawaida, niulizeni mimi niwape siri
Tena waambie wana nuksi hatuwataki
Tena waambie wana nuksi hatuwataki
Ayaaa! Shindwa pepo! source: Mtume Filipo.
Dah we acha tu...
Yan balaa hapa
Tena waambie wana nuksi hatuwataki
Erickb52 Nakuombea uzima na afya njema mpwa