Get well soon Erickb52

Mzee wa Rula; Nakushukuru sana kwa nafasi hii ya pekee ulionionelea Mkuu!
Erickb52; Pole sana Kamanda wetu!

Ninaenda kinyume kabisa na pepo wabaya mbele ya wana wa MUNGU,nasema hamna mamlaka kwa watu wa MUNGU kamwe! Naenda kuvunja nguvu za giza,hawana mamlaka kabisa kwa watu wake MUNGU wetu! Nakemea nguvu zote ya giza inayomnyemelea Ndg yetu Erickb52; Hawana mamlaka mbele ya MUNGU wetu aliyehai na hata sasa! Naenda tena kinyume kabisa,shindwa pepo shindwa na hata ulegee pepo mchafu unao waandama wana wa MUNGU shindwa na nasema shindwa tena shindwa kwa jina la Bwana wetu YESU KIRSTO aliye hai sasa na hata milele! Walinde Watu wako wote wanaokutegemea na hata wale wasiokutegemea na warudishie tumaini lako Bwana Wetu! Haya yote nayasema na nikiamini MUNGU atende maajabu yake kwani anaweze! Haya yote nayasema na nikiamini kwa uwezo wake YESU KIRSTO BWANA NA MWOKOZI WETU!



Aaaamen!
siku nyingine utangulize sala ya toba. Ana dhambi ile inayofanywa juu ya mwili, uki-upload server ya jf haitoshi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu erickb52 pole sana swahiba. Nakuombea sana upone mapema na tuweze jumuika wote kwenye msimu huu wa sikukuu. Pole sana rafiki yangu na Mungu akupe uponyaji wa haraka na mapema kuweza kutekeleza majukumu yako mkuu.
 
Last edited by a moderator:
sweetlady, naamini kabisa sala na dua zangu zimefika mahala husika na kujibiwa. Erickb52 amesha anza kufanya mazoezi ya u trafiki, anasimamisha jogoo wakati hakuna foleni. Mind you, bata na wanawe tu ndio wanafuata foleni watembeapo
Wapendwa wa chit chat naona bado jinamizi la magonjwa linaendelea kuliandama jukwaa letu!


Naomba tujumuike pamoja kumwombea mwana chit chat mwenzetu Erickb52 kwani yu mgonjwa kitandani!


Nawaita kwa moyo wa upendo Filipo, Mungi, PakaJimmy, Arushaone, watu8, Madame B, cacico, gfsonwin, nitonye, Kaizer, Asprin, charminglady, nivea, Preta, Lily Flower, marejesho, Blaki Womani, Kipipi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, King'asti, Paw, Husninyo, snowhite, platozoom, Ndahani, Invisible, Nicas Mtei, figganigga, Bujibuji, babu Dark City na wengine wote!


Njooni tulikemee kwa nguvu hili pepo la maradhi linaloliandama jukwaa letu msimu huu wa sikukuu, tena katika kipindi hiki tunajiandaa kwenda kula bata tanga!
Pole sana Erickb52, hakika Mungu wetu ni mwema na kamwe hamtupi mja wake, nna imani maombi yetu jumlisha na dawa unazokunywa mambo yatakuwa safi soon! Kesho Filipo atakuletea supu asubuhi , PakaJimmy ataleta chipsy kuku mchana na jioni tutakuja na mke mwenzangu marejesho kukupikia kile chakula ukipendacho! Ugua pole sana &



Get well soon dearest!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Asanteni ndugu zangu kwa maombi yenu naamini Mungu hataniacha ktk maumivu haya!
sweetlady naomba ufikishe shukrani zangu kwa woooote, upendo wao ni wa dhati.
Asanteni sana wana chitchat. Tuendelee kuwa pamoja.
Erickb52
 
Last edited by a moderator:
pole sana kaka yangu kipenzi .pole sana,ila nahisi niule ugomvi wa mahari yangu na shemejie KakaKiiza kwani ilifikia hadi kupigana kabisa kaka yangu Erickb52 pona haraka kaka yangu nishaachana na huyu bwana kabisa hawezi kupigana na wewe
 
Last edited by a moderator:
get_well_soon_11.gif


Papaa mukubwa Erickb52 ujue tunakusubiri kwa hamu eeeh....... Afu hilo pepo linakuletea kauzibe...... Tena lishindwe kwa jina lake allaaaaaaa!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom