Get well soon Erickb52

Hivi wakati ule unanitokea ulisema una kiwanja manyire na shamba tengeru unataka kunirithisha. Ulikamilisha documents? Kama haujaandika mirathi ungeandika tu dear tusipate shida just incase.
 
Mzee wa Rula; Nakushukuru sana kwa nafasi hii ya pekee ulionionelea Mkuu!
Erickb52; Pole sana Kamanda wetu!

Ninaenda kinyume kabisa na pepo wabaya mbele ya wana wa MUNGU,nasema hamna mamlaka kwa watu wa MUNGU kamwe! Naenda kuvunja nguvu za giza,hawana mamlaka kabisa kwa watu wake MUNGU wetu! Nakemea nguvu zote ya giza inayomnyemelea Ndg yetu Erickb52; Hawana mamlaka mbele ya MUNGU wetu aliyehai na hata sasa! Naenda tena kinyume kabisa,shindwa pepo shindwa na hata ulegee pepo mchafu unao waandama wana wa MUNGU shindwa na nasema shindwa tena shindwa kwa jina la Bwana wetu YESU KIRSTO aliye hai sasa na hata milele! Walinde Watu wako wote wanaokutegemea na hata wale wasiokutegemea na warudishie tumaini lako Bwana Wetu! Haya yote nayasema na nikiamini MUNGU atende maajabu yake kwani anaweze! Haya yote nayasema na nikiamini kwa uwezo wake YESU KIRSTO BWANA NA MWOKOZI WETU!



Aaaamen!


Pole sana Erickb52 ngoja nimuite mchungaji LiverpoolFC aje akemee pepo hili la magonjwa.
 
Last edited by a moderator:
pole sana erickb 52. hilo jinamizi lishindwe katika jina la ......................
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom