Get well soon Erickb52

Get well soon Erickb52

mh... Mie hata siku hizi simuelewi huyu shem wangu Erickb52 ... Juzi Juzi kulikuwa na thread inasema 'nimevamiwaaa..... Nahuyo aliyevamia alikuwa ni Erickb52 ... Tuambiane ukweli, ni doz ilikuwa kubwa akashindwa kuihando au alinatana?

Anyway, nikija kukupikia jioni utatudokeza mie na sweetlady .... Filipo kesho jioni ntachelewa kurudi home mpz... Twaenda kumpikia mgonjwa chakula anachokipenda ....

Mungu wetu ni mwema, mwingi wa rehema....Atakuponya haraka....
 
Last edited by a moderator:

Umeonae? Wakati anaenda kuvamia alikuwa anaumwa kwa mbali, alivomaliza kuvamia homa ika double na kumtupa kitandani bila huruma lol.

Kesho atatueleza vizuri mke mwenza.
 
sweetlady haya mambo mazito sana.... Itabidi tuwaombe hawa wana wa R Chuga wa jinsia ya ME wasiende 'KUVAMIA' maana wataumwa...lol.....

Filipo , LiverpoolFC , Arushaone , Mzee wa Rula , Mungi and many others angalieni hii mambo aisee....
 
Last edited by a moderator:
Mungu mponyaji akujaalie afya na akurudishie uzima ili urejee kunako uzima.
Erickb52 get well soon brodaa!!
 
Last edited by a moderator:
Get well soon Bro..
images.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom