Get Well Soon Charminglady

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443




Mwana JF Mwenzetu charminglady amepata health complication na amepumzishwa Aga Khan Hospital leo asubuhi.

Tumuombee mwenzetu apate uponyaji wa haraka ili aweze kurudi jukwaani na kuisongesha JF mbele.

Pole sana Mjukuu wangu charminglady naamini mwenye enzi Mungu mwingi wa rehema atakuponya haraka.

CC: @C6, Elizabeth Dominic, watu8, Asprin, Paloma, Munkari, Heaven on Earth, miss Neddi, Mentor, na wadau wengine niliowasahau kwa sababu ya haraka za kuweka hili bandiko
 
Pole sana Mkuu CharmingLady
Mungu ni Mwema sana pia kupitia dawa utakazopewa naamini utarejea kwenye hali njema ili uweze kulijenga Taifa letu changa!

Usisahau kwa imani yako kumuomba Mungu ili nasi tukikuombea nguvu iwe moja Mkuu.
 
upone haraka charminglady . Zngatia dawa, chakula, maji na matunda
 
Last edited by a moderator:
Pole sana charminglady tunakuombea nafuu ya haraka na upone kuweza kurejea kwenye majukumu yako
 
Last edited by a moderator:
ohooooo GET WELL SOON MY MAMIII
we miss you natumaini mungu atashusha muujiza wake juu yako
na utaenda kupata nguvu za uponyaji leo

neno hili likawe ngao yako
WAEBRANIA 11:6
neno la mungu linasema lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza kwa maana mtu amwendeaye MUNGU lazima aamini
kupitia neno hili naamini mungu ataenda kukusimamia katika kipindi hiki ukapate uponyaji
kwa maana sote tunamuamini yeye na tunaukabidhi ugonjwa wako juu yake akapate kuuvunjavunja na kuutokomeza mbali kama alivyofanya kwa mtumishi wake mtiifu AYUBU
Wana JF tuko pamoja nawe
GET WELL SOOOOON MAMIIIIIIIII
 
"Mungu Mwenye enzi,
Baba wa Rehema,
Mungu wa Israel,
Imani yangu ni kwamba wewe huanzia pale mawazo yetu yanapokuwa wameishia,
tenda muujiza wako wauponyaji kwa dada yetu mpendwa Charminglady;
mpe nguvu apate kuendelea vyema na shughuli zake akiwa mwenye afya,
naenda kinyume na nguvu za giza zipate kushindwa katika Jina la Kristo Yesu mwokozi wetu -
AMINA.
 
Pole sana mkuu I speak health over you through authority from above
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…