Get well soon AshaDii

Status
Not open for further replies.
Duh nimekumbwa na mshangao.
Pole sana sana AshaDii. Mwenyezi Mungu akupe uponyaji mapema na urejee katika majukumu yako. Pole sana sana.
Nakuombea sana sana Dear upate nafuu mapema.
Ameen Mr. Rocky!
 
Yaani RR hilo jia lako lisingekuwa na maandishi mekundu, ningekuwa na neno la kukuambia...ila sasa kwa hali ilivo....hebu nisijepata ban manake mawazo yangu yako kwa mgonjwa...BUT Thank YOU.
Pole Shem. I feel what you feel hata mimi ila naamini hakuuliza kwa nia mbaya...
Na kama nimekosea kumjibu hivo basi nambie tu ulichotaka kunambia (PM lakini)
 
Ooooooohh!

Ndiyo maana kimya yake kimetawala ndani ya masaa kadha zilizopita!

Pole sana Sister!

Hakika MUNGU yupo na atakurejeshea afya yako jamani!
Tu pamoja sana tena sana ktk hali yoyote ile na hata nitaenda kinyume kbs na nguvu yeyote ya kimiungu na kuzikataa kbs na nikimwacha MUNGU atume Malaika wake wakujaze nguvu yake na uwe na afya njema jamani!

Uwe na wakati mzuri na hata pole sana!
 
Ameen!
 
Hi Alter,

I am sorry that you are not feeling well... I pray that you recover promptly.
Nimefurahi kujua unahudumiwa na madaktari despite mgomo (You are AshaDii! au vipi?)
I miss you jamvini na uraiani pia. Get well soon love.

getwellsoon83gl3.jpg

RR ! Nina vitu viwili Kwanza : Nampa pole mgonjwa for the God sake she may get fine soon. Pili : ni swali , hivi source ya kujua somebody Membar yu mgonjwa, navyojua ni mgonjwa husika kuleta Thread kutujuza.
So far ikiwa hajatoa ufahamu unakujaje ? Through Pm au ? Inatokea Membars kuishi jirani ?.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom