AMINA,ODM is puzzled! ODM thought angekuwa wa kwanza kujua. ODM anajua kuwa ADI anajua what he wishes and prays for her. ODM anajua kuwa ADI anajua kuwa what ODM prays for her huwa MUNGU husikiliza na kujibu. Leo ODM hamsumbui sana Mungu, bali anamwomba amponye ADI wake mapema. Wote tuitikie AMINA. Ahsante, EEH MUNGU KWAKUWA ADI AMEPONA.
Mungu wetu ni MUWEZA ya yote.AMINA,
Thank you God kwa kumponesha AshaDii!
AmeenDa AshaDii-Mwenye-enzi Mungu akupe moyo wa subira, na inshaallah utapona na kurejea mahali hapa kama kawaida.
Thanks for your support mkuu. Pamoja sana (source: AshaDii)Ashadii,
Pole sana best yangu.
Naamini kila kuchapo unaendelea kupata afya!
Jihakikishie maombi yetu, especially ya kwangu!