Get together party 4 single, widow(er) & divorced, june 2013

connections

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
654
500
Wadau mnakumbushwa Get Together party for Singles, Divorced and Widows itafanyika mwishoni mwa mwezi huu June, 2013, Thibitisha ushiriki wako kabla ya tarehe 13 Juni, 2013. Kwa sababu ukumbi tuliopata unachukua watu 60 tu. So, ikifika hiyo namba (60) hatutakubali watu zaidi tena. Kumbuka: MADA: NI HOFU YA MUNGU, LISHE & AFYA KATIKA MAHUSIANO/NDOA. Watoa mada watakuwa wafuatao;
1. Viongozi wa Dini ( Waislamu & Wakristo)
2. Wataalamu wa Lishe
3. Madaktari Bingwa wa Uzazi
4. Washauri Nasaha toka AMREF
NB: Kiingilio ni Tsh. 5000/= (kwa ajili ya Chakula & Vinywaji (Maji & Soda...HAKUNA POMBE)
Thibitisha ushiriki wako kwa kutuma sms kwenda namba 0718756418 au ni-PM
Asanteni

mwananthropolojia

JF-Expert Member
Oct 6, 2012
956
225
Mhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!

Too civilised for my taste! Im jst curious hao watoa mada mbona inakuwa kama semina tena sio PARTYYYYYYYYYY!!!!!!!!!? Au ushamba wangu?
mwenzangu mwenyewe nilichungulia hii kitu ikabd nitoke kimyakimya,mana ntavyosinzia humo kwenye get together party acha nijipitie
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
Mhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!

Too civilised for my taste! Im jst curious hao watoa mada mbona inakuwa kama semina tena sio PARTYYYYYYYYYY!!!!!!!!!? Au ushamba wangu?
Hahaha long story short best hii makitu sidhani kama inakufaa...
 
Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
2,282
1,250
MADA: NI HOFU YA MUNGU, LISHE & AFYA KATIKA MAHUSIANO/NDOA
hapo kwenye mahusiano/ndoa sijaelewa kwa mtaliki..inakuaje..hapo hapo kwa mjane...watachangia sawa kweli..?
ok naona hii party /semina itakua ya kisasa zaidi...
Kongosho.. Mamndenyi...hizi ndio fursa...hahahahahaha
 
Last edited by a moderator:

Madame B

Verified Member
Apr 9, 2012
28,064
2,000
Nathibitisha ushiriki nitakuja na mtalaka wangu mayome.
 
Last edited by a moderator:

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Hii ya watakatifu
ipo ya Ki Belusconi naandaa
can you find cute entertainers?
Hahaaaaaaaa! Party za Ki belusconi ndo mpango mzimaaa! Nasikia kuna Mh! Fisadi mmoja hivi anashushaga mi party ya kibelusconi huko Obay upepo unapovuma full kutiririsha moet tu, Mambo ya Bikini Party, Party likiisha viburudisho wanapewa laki 5 za taxi warudi makwako! Nasikia ni very big NETWORKING OPPORTUNITY! Wheshimiwa kibaoooooooo ndani ya boxer chezeya Bikini Party????????????

Ndo nataka nikadhibitishe kwa macho yangu! Im dying to see some congress men in boxers haswaa Ngelejaleja (The dude is Hot!!!!!!!!!! kumtaja hapa sio kizibitisho anakuwepogi! Disclaimer hio!)

Afu kuna ubalozi wa matajiri wa Mafuta na wazee wa sharia wanaangushaga mi party DEADLY kukiwa na ugeni kutoka hukooo kwenye utajiri wa mafuta!!!!!!! Ukiwa escort tu ni Mipound kibaooo! Bongoo hii wanalipa mi pound chezeya wese nyie???????

Nitasutwa sasa ngoja niishie hapa!

WENU BORN TOWN KITAMBOOO A.K.A BORN HERE HERE!!!!!! SIKUJA MJINI NA BASI WALA FAST JET!!!!!!!!!
 
measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,786
2,000
Mhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!

Too civilised for my taste! Im jst curious hao watoa mada mbona inakuwa kama semina tena sio PARTYYYYYYYYYY!!!!!!!!!? Au ushamba wangu?
You said it well.... Better ingeitwa seminar and not party...
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
na wewe uende kama hujakutana na wale wamama wa all white party.......na wao watadai wako single eti!
Itabidi nijifanye single ili niende kwenye hiyo shughuli...si unajua kuwa shughuli ni watu!!
 
Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,178
2,000
Wadau mnakumbushwa Get Together party for Singles, Divorced and Widows itafanyika mwishoni mwa mwezi huu June, 2013, Thibitisha ushiriki wako kabla ya tarehe 13 Juni, 2013. Kwa sababu ukumbi tuliopata unachukua watu 60 tu. So, ikifika hiyo namba (60) hatutakubali watu zaidi tena. Kumbuka: MADA: NI HOFU YA MUNGU, LISHE & AFYA KATIKA MAHUSIANO/NDOA. Watoa mada watakuwa wafuatao;
1. Viongozi wa Dini ( Waislamu & Wakristo)
2. Wataalamu wa Lishe
3. Madaktari Bingwa wa Uzazi
4. Washauri Nasaha toka AMREF
NB: Kiingilio ni Tsh. 5000/= (kwa ajili ya Chakula & Vinywaji (Maji & Soda...HAKUNA POMBE)
Thibitisha ushiriki wako kwa kutuma sms kwenda namba 0718756418 au ni-PM
Asanteni

Mbona mada haiendani na walengwa?
 
Top Bottom