Get Together Party for Singles, Divorced-Dar es Salaam, June, 2013

connections

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
1,736
2,297
Salaam
Baada ya kufanikiwa kuwaunganisha watu kadhaa na wale wawapendao kwa lengo la kuanzisha familia/kuoana. Sasa tumeanza maandalizi ya Get Together Party itakayofanyika Dar es Salaam, Mwishoni mwa Mwezi June, 2013 (Sehemu mtajulishwa Baadae), kutakuwa na Guest Speakers wa mambo ya Mahusiano, Viongozi wa Dini (Wakristo na Waislam), Wataalam wa AFYA (Madaktari) na LISHE. USIKOSE. KIINGILIO ni 5,000/= kwa ajili ya CHAKULA & VINYWAJI (only soft drinks will be served).
Kuthibitisha ushiriki wako ni-PM. Asante.
 
connections we ni noma pamoja na madongo watu walikuwa wanakuponda JF wewe umekomaa!! daah utafika mbali mkubwa.muda utakuwa saa ngapi? tuje na nguo zetu au UTUPU??? kondom je? tubebe?
 
Kaunga tema mate chini! Si kila divorced ana makosa au alipenda! Mtu aweza kuwa tu victims! There are divorcees who would make a wenderful spouse!Waombee, hujui maumivu yao!

Najua many of them, lakini pia wapo ambao hawezi settle kabisa na mtu as if wana lisprit la kuacha.
 
Naona kuna watu wanfanya utani hapa. Ili kuifanya for serious persons who r really in need of partners. Utapaswa kuja na picha PASSPORT SIZE ya kwako. Na aina yoyote ya kitambulisho chako chene picha (KITAMBULISHO CHA KURA, PASSPORT, LESENI YA UDEREVA, KADI YA BENKI au Barua toka serikali ya Mtaa) inayokutambulisha wewe, ili kuepuka utapeli wa Mapenzi.
 
Connections with such a service jamii hujui kutapeliwa utatapeliwa tu? watu wanaishigi na wake wawili tofauti mikoa miwili tofauti tofauti na hawajuani na kila mtu anajua huyo ndo mumewe? sembuse kitambulisho tu? Utambulisho sahihi uko katika mahusiano ya mtu na Mungu, maana Mungu huona ndani kabisa ya moyo.
 
Naona kuna watu wanfanya utani hapa. Ili kuifanya for serious persons who r really in need of partners. Utapaswa kuja na picha PASSPORT SIZE ya kwako. Na aina yoyote ya kitambulisho chako chene picha (KITAMBULISHO CHA KURA, PASSPORT, LESENI YA UDEREVA, KADI YA BENKI au Barua toka serikali ya Mtaa) inayokutambulisha wewe, ili kuepuka utapeli wa Mapenzi.

sina kitambulisho cha kura, sikupiga kura
sina leseni ya udereva.
sijui pasport ilipo,missing
sijui wala ofisi ya serikali ya mtaa ilipo
na kadi yangu ya benki ni kitu so private siwezi mpa mtu copy..

.......????????????
 
Naona kuna watu wanfanya utani hapa. Ili kuifanya for serious persons who r really in need of partners. Utapaswa kuja na picha PASSPORT SIZE ya kwako. Na aina yoyote ya kitambulisho chako chene picha (KITAMBULISHO CHA KURA, PASSPORT, LESENI YA UDEREVA, KADI YA BENKI au Barua toka serikali ya Mtaa) inayokutambulisha wewe, ili kuepuka utapeli wa Mapenzi.

ha ha ha ha ha ahsanteeeeeeeee
 
Back
Top Bottom