GESTAPO yatunyemelea! Je tumerudi nyuma miaka 80?

GESTAPO yatunyemelea! Je tumerudi nyuma miaka 80?

mtanzania1989, Je unaijua Katiba ya Tanzania? Je unazijua sifa za mgombea Uspika? Je unajua tofauti iliyopo katika sifa Kati ya mgombea Uspika na Unaibu Spika?
Naomba nikueleweshe kama ifuatavyo.

Katika kugombea Uspika hakuna sharti la kuwa mbunge AMA WA kuchaguliwa au WA kuteuliwa.

Katika kugombea Unaibu Spika sharti uwe mbunge.

Marando na Ole Mideye waliruhusiwa kugombea Uspika lakini hawangeruhusiwa kugombea Unaibu Spika. Usiniulize kwa nini, soma Katiba.

Utawala ulijua Ndugai anaumwa lakini bado akateuliwa kugombea Uspika. Inawezekana walijua toka awali kuwa hataweza kuliongoza Bunge.

Katika hali hiyo haishangazi kuteuliwa kwa Dr. Tulia kuwa mbunge na baadaye kupendekezwa kugombania Unaibu Spika.

Kwa jinsi anavyoendesha Bunge sitashangaa... uteuzi wake kuwa Mbunge unazua maswali mengi Tu.
Mag3 , usiondoe hoja ya msingi hapa.
Umelalamika si demokrasia kwa Naibu Spika kuwa mtu mwenye ubunge kuteuliwa badala ya kuchaguliwa wakati ni suala ambalo kisheria ni sahihi ila si sahihi kwako wewe kidemokrasia.

Hapo hapo unaona ni sahihi kwa "demokrasia yako " kuwa na Spika ambaye si mbunge wa kuteuliwa ila kwa kuwa ni sahihi kisheria unaona hii ni sahihi. Hizi double standards unazitolea wapi?

Kama unaona kwa uhai wa demokrasia si sahihi kuwa na Naibu Spika aliyetokana na ubunge wa kuteuliwa na vivyo hivyo haitakuwa sahihi kuwa na Spika asiye mbunge wa kuteuliwa kutokana na demokrasia unayoizungumzia wewe.

Kama unataka tufuate katiba, fuata kwa wote. Naibu Spika ametimiza matakwa ya kikatiba yote, ambayo moja ya sifa ni kuwa Mbunge, sasa hizi kelele za siyo halal za nini?
 
Kamwe matatizo haya tatuliwi kwa mabavu na yeyote atatuaye matatizo kwa njia iyo huishia kuongeza matatizo zaidi kuliko utatuzi, ivo namshaur baba paroko atumie njia sahihi kwan anatatua matatizo kwa kusoma madesa ya akina Mussolini, Hitler, Hirohito, Francisco Franco na wengineo ambao uongozi wao uliongeza matatizo juu ya matatizo, mbele ya matatizo na nyuma ya matatizo kinyume na wananchi walivotarajia, vilio vilitanda kila kona, haki ya kuishi ikatenguliwa kwa wale wote walopinga viongoz walotukuka, eti Leo watz tnashangilia mambo mabaya tunayoyaona na yamewahi watokea watu wengine sisi tunaona sherehe ama kweli MTU alienjaa huwa single minded
 
Kamwe matatizo haya tatuliwi kwa mabavu na yeyote atatuaye matatizo kwa njia iyo huishia kuongeza matatizo zaidi kuliko utatuzi, ivo namshaur baba paroko atumie njia sahihi kwan anatatua matatizo kwa kusoma madesa ya akina Mussolini, Hitler, Hirohito, Francisco Franco na wengineo ambao uongozi wao uliongeza matatizo juu ya matatizo, mbele ya matatizo na nyuma ya matatizo kinyume na wananchi walivotarajia, vilio vilitanda kila kona, haki ya kuishi ikatenguliwa kwa wale wote walopinga viongoz walotukuka, eti Leo watz tnashangilia mambo mabaya tunayoyaona na yamewahi watokea watu wengine sisi tunaona sherehe ama kweli MTU alienjaa huwa single minded
Kampe huo ushauri Nkurunzinza Mbowe, " matatizo hayatatuliwa kwa mabavu " , Halafu umuulize pia ameweza tatua tatizo lililowafanya watoke nje ya Bunge?
 
Hebu tuwekee uthibitisho wa hayo matusi, kejeli, mipasho na dharau kutoka kwa Chadema.











Unataka kuujua ukweli?
Kazi ya Bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali na si kupinga pinga tu na kukwamisha serikali. CDM ya sasa wamejaa matusi, kejeli, mipasho na dharau, wanabadilika rangi zaidi ya kinyonga, hawana jema wao. Kwa sifa hizi usitegemea utachukuliwa kwa umakini sawa na CDM ya bunge lililopita.
 
*Kwa mara ya kwanza tunaona serikali imesimamia ipasavyo zoezi la watumishi hewa na kuokoa zaidi ya bil 25 tulizokuwa tunapoteza kila mwezi
* Kwa mara ya kwanza tunashuhudia wanafuzi wanasoma bure kutoka chekechea hadi form four.
* Kwa mara ya kwanza tunashuhudia serikali inafunga mkanda na kukata matumizi ya kipuuzi kama vile safari za nje ya nchi zisizo na tija, sherehe zisizo na tija
* Kwa mara ya kwanza tunashuhudia serikali inapambana ma mafisadi na rushwa (kwa vitendo)
* Kwa mara ya kwanza tunashuhudia serikali inapambana na kuhakikisha wagonjwa hawalali chini wala wanafunzi kukaa chini
* Kwa mara ya kwanza nchini tunashuhudia serikali haiendeshwi "kishwaiba" na rais anatumbua hata rafikizake wa karibu wanapokosea
* Kwa mara ya kwanza tunashuudia bajeti inayoangalia kusaidia masikini- ambayo zaidi ya 45% ni miradi ya maendeleo
* Kwa mara ya kwanza tunashuhudia wapinzani wanaishiwa na hoja na kubakia na viroja
* Kwa mara ya kwanza tunashuhudia dunia nzima inaiangukia tanzania na kuomba walau watuazime rais walau kwa miezi mitatu ili akasaidie kunyoosha mamboyao

Nadhani naipenda hiyo "GESTAPO" ya Magufuli...bring it on
Kwani mafisadi gani wamekamatwa na kufungwa? Maana mafisadi bado wapo uraiani wanapeta.

Series inaendelea.
 
Kumbuka hii;

In Germany they came first for the Communists, and I didn't speak up because I wasn't a Communist.
Then they came for the Jews, and I didn't speak up because I wasn't a Jew.
Then they came for the trade unionists, and I didn't speak up because I wasn't a trade unionist.
Then they came for the Catholics, and I didn't speak up because I was a Protestant.
Then they came for me, and by that time no one was left to speak up!

-- Martin Niemöller, 1945​
Message sent.
 
Kuchangiwa na watoto wa baba mdogo ni kielelezo fulani lakini kizuri.
Sheria ya makosa ya mtandao imelalamikiwa na watu wengi ndani na nje.
Kwa hiyo muathirika wa sharia hiyo angeweza kuchangiwa na hela nyingi sana kama angepata mtu wa kupeleka appeal yake nje ya mipaka. Ikiwa appeals za mashoga zinashika kasi mpaka mataifa na wafalme wanatikiswa, itakuwa hii ya kuzuia uhuru wa watu kujieleza.

Mungu saidia tunaishi katika nchi yenye watu wastaarabu sana. Ila kwa hili, chama tawala kinakosea kwa sababu kinapeleka ujumbe huu bila kujua:
-Kwamba, kinaunga mkono uvunjaji wa katiba na haki za msingi wa watu
-kwamba, chama cha jirani ndicho chama kinachotetea haki za watu.

Hii ni kona mbaya wanajiweka kama walivyojiweka bungeni, ambapo:
-Wamewatangazia watanzania kuwa watetezi wa haki za watu ni wale waliondoka
-Waliobaki ni wakandamizaji kwa sababu wamepandisha kozi za kikatili mpaka za vocha ya
500
Mi chichemi,
 
Masuala mengi yamezuiliwa kujadiliwa bungeni kwasababu yapo katika mahakama

Hapa mhimili wa bunge 'unaheshimu'mhimili wa sheria. Mifano ipo mingi sana kuhusu hili

Bunge lilipitisha maazimio kama mhimili wa kuitaka serikali ichukue hatua dhidi ya watu waliohusika na kashfa mbali mbali. Bunge lilikuwa mhimili unaojitegemea

Serikali haikuchukua hatua na baadhi ya watuhumiwa waliachwa kustaafu.
Sababu kubwa ilikuwa kutoingilia mhimili wa 'utawala' na bunge lilishafanya kazi yake

Suala la kijana lilikuwa katika mkondo wa sheria .

Sheria hizo zilitungwa na mhimili wa bunge na kusainiwa na mhimili wa 'serikali' kuwa sheria zinazotumiwa na mhimili wa mahakama.

Hakimu alitoa hukumu na masharti kwa kuzingatia kanuni, na sheria husika.
Utaratibu wa mahakama ni kuwa kama mtuhumiwa au malalamikaji hakuridhika na maamuzi, kuna nafasi ya kukata rufaa.

Serikali ndiyo ilimshtaki mtuhimiwa, na ndiyo yenye haki ya kukata rufaa.
Si kazi ya bunge kujadili mwenendo wa kesi mahakamani.

Kulijadili suala hilo bungeni ni kuingilia mhimili wa mahakama.

Endapo ipo haja, wabunge wangeomba mhimili wa serikali ulete mswada wa kuangalia marekebisho ya sheria inayotumika mahakamani. Si kujadili kesi ya mtu mmoja
Asante kwa kuja. Umepigilia Nchumali.
 
kuongoza Tz imekua sawa na kuongoza midoli..
unaigeuza upendavyo na makofi watakupigia..
ivi sukari imeshashuka bei ?
Sukari bado ni 2500 kwa kilo. Wachochezi wa bei za sukari hawajahojiwa.

Hata wachochezi wa wafanyakazi hewa hawajatumbuliwa.
 
Muda si mrefu hata Jf itafungiwa...Maana dalili zote zipo na zinajionyesha na kama akina Invisible hawajaanza kutiwa kashikashi basi wajiandae maana muda si mrefu kashikashi zitaanza.Dalili ya mvua ni mawingu na mwenzio akinyolewe wewe tia maji au kaa mkao wa kunyolewa..
Kama server zao zipo ndani ya Tanzania, sheria ya masuala ya mtandao itachukua mkondo wake.
 
Majibu mazuri sana. Kumbe huo utawala uliweka masharti ya namna ya kuendana nao na waliopinga utawala huo waliathirika kwa namna mbalimbali na kuuwawa. Hivyo makosa ni ya marehemu.
Nikupe ushauri kuwa mara nyingi kwa shujaa huenda kilio. Bob Marley katika wimbo wake uitwao Heathen anatushauri kuwa Shujaa ni yule anayepigana na kukimbia kwasababu anaweka nguvu na uhai ili aje kupambana baadaye. Vilevile mazingira kama hayo yakitokea iga busara ya mmea uitwao mwanzi wenyewe ikitokea hali ya hewa ni ya upepo mkali huinama kuupisha upepo na huinuka pale upepo umeisha. Usifuate busara za mwembe wenyewe hushindana na upepo na matokeo yake huangushwa na kuwa kuni.
"Bora kufa kuliko kuisha maisha ya fedheha"- Imam Hussein.

It is better to die than to live like a coward.
 
Mag3 , usiondoe hoja ya msingi hapa.
Umelalamika si demokrasia kwa Naibu Spika kuwa mtu mwenye ubunge kuteuliwa badala ya kuchaguliwa wakati ni suala ambalo kisheria ni sahihi ila si sahihi kwako wewe kidemokrasia.

Hapo hapo unaona ni sahihi kwa "demokrasia yako " kuwa na Spika ambaye si mbunge wa kuteuliwa ila kwa kuwa ni sahihi kisheria unaona hii ni sahihi. Hizi double standards unazitolea wapi?

Kama unaona kwa uhai wa demokrasia si sahihi kuwa na Naibu Spika aliyetokana na ubunge wa kuteuliwa na vivyo hivyo haitakuwa sahihi kuwa na Spika asiye mbunge wa kuteuliwa kutokana na demokrasia unayoizungumzia wewe.

Kama unataka tufuate katiba, fuata kwa wote. Naibu Spika ametimiza matakwa ya kikatiba yote, ambayo moja ya sifa ni kuwa Mbunge, sasa hizi kelele za siyo halal za nini?
Nimekupa heshima kubwa sana mtanzania1989, si kawaida yangu kujibizana na watoto aina yako ambao uelewa wao ni mdogo kiasi hicho. Pamoja na kwamba inawezekana umesoma nilichoandika umetoka kapa, hukuelewa chochote. Nimepitia majibu yako yote yaliyofuatia na sasa nimejua jinsi uwezo wako wa kuelewa ulivyo finyu. Nakushauri ukae utulie, urudie tena kusoma niliyoyaandika bila papara wala kukurupuka na labda utaweza kubahatika ukaelewa nazungumzia nini.
 
Mage3 ume-preempt maneno yangu kuhusu GESTAPO. This week nikiwa maeneo ya posta nilijikuta nawafikiria GESTAPO pale jirani yangu niliyekuwa nimesimama naye alipopokea simu ikimtaka arudi haraka ofisini kuna assignment ya kwenda kukamata mtu mmoja aliyetukana kwenye mtandao akiwa mlimani city. Jamaa alilalamika kuwa usafiri ni mbaya wa kurudi ofisini, akaambiwa asubiri hapo hapo na gari lenye kimulimuli litamfuata. Ndani ya dakika kama 7 hivi likaja gari la ambulance na kimulimuli likasimama, jamaa akarukia likaondoka.
Mbona unam expose huyo 'jamaa yako?'
 
Kama server zao zipo ndani ya Tanzania, sheria ya masuala ya mtandao itachukua mkondo wake.
Thubutu,jinsi wachina walivyo attach JF wakati wa kampeni na uchaguzi hadi jf ikapata msaada nje ili kurudi hewani,
Kwa sasa wanaviziwa tuu maana kuna kesi tayari polisi wanataka wapawe id za watu humu
Lazima wamsifie kwa sababu binadamu tuna tabia ya ku-take things for granted. Au kwa maneno mengine huwa hatujui thamani ya kitu hadi tukikose.
 
"Bora kufa kuliko kuisha maisha ya fedheha"- Imam Hussein.

It is better to die than to live like a coward.
Kilichokudanganya mpaka ukamuamini ni hilo neno Imam? Hata kipindi hicho kinakibwetere kama Mbowe walikuwapo kuwataka wenzao kufa wenyewe wakikimbia na kuweka nguvu ya kupambana baadaye. Alphonso Drakama huko Msumbiji alishawishi wengi wenye akili kama zako kufa yeye kaweka nguvu ya baadaye kwa kukimbia na sasa anaendesha maisha yake na familia yake.
 
Back
Top Bottom